Heb tuone huo mkekaKanji Leo nimemkomesha na kurudisha hela zangu alizokuwa anakula zaidi ya mwaka sasa. Kwa 15k nimemlamba 500k kwa stake 3 wacha nijipigie makofi makubwa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120]
Lazima toe jilipueMnaongalia mechi kuna uwezekan wa man utd kupata kona over 5.5 kweli naona in play wamempa odds 2+
Hebu tuone! [emoji12]Kanji Leo nimemkomesha na kurudisha hela zangu alizokuwa anakula zaidi ya mwaka sasa. Kwa 15k nimemlamba 500k kwa stake 3 wacha nijipigie makofi makubwa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120]
anaweza kutoa mkuu usijariMnaongalia mechi kuna uwezekan wa man utd kupata kona over 5.5 kweli naona in play wamempa odds 2+
weka huobmkeka tuone ulivyobetHebu tuone! [emoji12]
Hongera mkuu[emoji119][emoji91][emoji91]
Tushukula huu mkuu....Leo Kanji nimempa za USO.....100K saafi kabisaa....Barikiwa sana Chief....Aluta Continiua....Imani kubwaa ZaidiUpdate.....
Wadau wa MKEKA No. 2
Hii mechi tushamalizana nayo.
H. Ramat kashindwa kupata goli half time.
Tulimpa
"Away to score both halves-No"
Amebaki man utd peke ake atupe corner 9
Tufunge biashara KWNY mkeka No. 2
View attachment 665872
WALE WENZANGU MLONIFATA KTK MKEKA No. 2Mkeka No. 2
Odds: 3.81
Stake: 52,700 Tsh.
Marejesho: 200,787 Tsh
Probability: 90%
Mapambano yanaendelea
View attachment 665609
Ubarikiwe pia mkuuTushukula huu mkuu....Leo Kanji nimempa za USO.....100K saafi kabisaa....Barikiwa sana Chief....Aluta Continiua....Imani kubwaa Zaidi
Happy New year brother. Hakika nimeiona nyota ya mamajusi. Asante sana.WALE WENZANGU MLONIFATA KTK MKEKA No. 2
Nna furaha kuwaambia kua tayar
BET WOOOOOOOOOOON
Baada ya wakina man utd tayar kufikisha corner 9
View attachment 665935
Ha ha ah....Happy New year brother. Hakika nimeiona nyota ya mamajusi. Asante sana.
Ha ha ah....
Mama jusy, ndo nani huyo mkuu.