Wale jamaaa walio kuwa wanasoma nyota enzi za yesu alipo zaliwa. Walisoma nyota mpaka wakamfikia wakampelekea manukato na vitu vya kung'aaaHa ha ah....
Mama jusy, ndo nani huyo mkuu.
Uliwapa GGKwel bristol city kashindwa kupata ata goli moja jaman, dah[emoji27]
Mm tayar. Nataka nikalale tu sasaHeri ya mwaka mpya kwenuuView attachment 665948View attachment 665951View attachment 665952View attachment 665954View attachment 665955tukanywe beer sasa
Ha ha ha.....Wale jamaaa walio kuwa wanasoma nyota enzi za yesu alipo zaliwa. Walisoma nyota mpaka wakamfikia wakampelekea manukato na vitu vya kung'aaa
Pole sana mkuu.Huu mwak umeanza vibaya
Kwani mkuu,mm naona nianze kubet single bet maana timu nazozipa win zinashinda kweli tatizo ni uchanganyaji wa timu
Home team clean sheet _NoUliwapa GG
kwenye mikeka mitatu nliyobet leo nimekula huo mmoja!!mingine timu moja moja ndo imechana na hii ni kila sikuKwani mkuu,
hujala hela kwny mkeka No. 2?
Naona km umenyong'onyea
Hongera sana,hapa ni mwendo wa kutembea na kona tu
View attachment 665893
Dah, sorry snD. Pond unashauri vp in play ya Man United
hahahaha kweli ndugu yangu, hongera sana nawe chief..!!!Hongera sana,
Leo mwaka umeanza vzur ndugu yang
Hapo tayar una laki ya supu KESHO asbuh.Yeah.. Ila nili stake only 30
unapaacha tu kama palivyoPromo code ni ipii