Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

daah ntafanya hivyo maana tatizo timu nnazochagua zishinde kweli zinashinda tatizo ni ipi ikae na ipi kwenye mkeka mmoja
Ukisuka mkeka ni lazima usuke mikeka kimkakati.

Namaanisha ni muhimu kuweza kuoanisha probability.

Ni muhimu kua na

mkeka wa probability 80% kwa kila mechi kwny mkeka

Mkeka wa probability 85% kwa kila mechi kwny mkeka

Mkeka wa probability 90% kwa kila mechi kwny mkeka

NAMAANISHA KWAMBA
ukijichanganya, mechi ya probility ya 60% ukamix na mechi za 85% na 90%

Uwezekano wa kuchanika mikeka yote ni mkubwa.

ZINGATIA SANA HILO MKUU
 
Nipo inplay
Hawa wa israel nime omba goal 2 tu naona wametoka kukosa penalty apa huu si ndo uchaw wenyew
 
Nipo inplay
Hawa wa israel nime omba goal 2 tu naona wametoka kukosa penalty apa huu si ndo uchaw wenyew
Dah, waisrael kwny 2+ hawaelewekagi hao

Wanapenda sn kwnd vice versa na mikeka ya watu.
 
Dah, waisrael kwny 2+ hawaelewekagi hao

Wanapenda sn kwnd vice versa na mikeka ya watu.
Wapuuz hawa wakat wapo first half
Walikua 0-0
Nika stake 2 tickets
Slot1
Away win odds zilkua 1.53
Slot 2
Goals total 2+
Odds zilkua 2.15
So kwa matokeo yoyte watakayo toka lazima aliwe maana asa iv ni
O-1
 
Duh jamani naona ligi kama hazijachanganya ipasavyo sijui nitulie mwezi was kwanza upite
 
preimier.PNG
Mvua imeharibu mkeka wangu, sijui pesa nitapata lini
 
That's for sure mkuu ... nimekula japo kidogo, hela niliyoikosa ndio inanisikitisha sn. Suala la ada ya dogo ilikuwa sorted kbs. Si unajua baada ya kuukaribisha mwaka sasa tumeingia kwenye majukumu (school fees week) ...
Mkuu pole tukomae mimi nilishakimbiza bado nyingine kama robo kwa kila mmoja ndo nataka niitafutie humu ninao wawili
 
Back
Top Bottom