Varius
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 644
- 503
Ule mkeka wa dharula ile handicap ni kwamba home team isishinde goli zaidi ya mbili naona nijiandae kivingineUnapishana na hela wewe
Ule mkeka wa dharula ile handicap ni kwamba home team isishinde goli zaidi ya mbili naona nijiandae kivingineUnapishana na hela wewe
nimekuelewa mkuuUkisuka mkeka ni lazima usuke mikeka kimkakati.
Namaanisha ni muhimu kuweza kuoanisha probability.
Ni muhimu kua na
mkeka wa probability 80% kwa kila mechi kwny mkeka
Mkeka wa probability 85% kwa kila mechi kwny mkeka
Mkeka wa probability 90% kwa kila mechi kwny mkeka
NAMAANISHA KWAMBA
ukijichanganya, mechi ya probility ya 60% ukamix na mechi za 85% na 90%
Uwezekano wa kuchanika mikeka yote ni mkubwa.
ZINGATIA SANA HILO MKUU
Pole sana.Hilo tatizo ninalo mkuu waga nina vishughuli sikaagi na simu sana
Lakini pia siku mbili hizi imekua ni inplay sana ndo imebeba sana wadau na hiyo inahitaji mtu mwepesi sana icho kitu kinanishinda ile mikeka makini yenye odds chache ndo mizuri kibiashara zaidi na inapoharibika inatikisa uchumi haswaUnapishana na hela wewe
Huo mkeka ameuchana bristol cityUle mkeka wa dharula ile handicap ni kwamba home team isishinde goli zaidi ya mbili naona nijiandae kivingine
Yaan wee umekariri Ligi inayoeleweka ni England tu.england
Kwenye akaunti yangu bado mkeka unapumua haujageuzwa mwekunduHuo mkeka ameuchana bristol city
Inawz kua bahati yako, keep prayingKwenye akaunti yangu bado mkeka unapumua haujageuzwa mwekundu
Pole snDah...derby na Leeds ***** zao.
hapa ni mwendo wa kutembea na kona tu
View attachment 665893
Kwahiyo hapo wanakupa kiasi gani naona kama umesell odd
Hapo umekula mzee mm mwenyewe kilinitokea kitu kama hcho ila waliiondoa hyo timu nikapewa mpunga kwa timu zilizobaki.View attachment 666095 Mvua imeharibu mkeka wangu, sijui pesa nitapata lini
mkuu hii ni business kama zingine, endelea kucheza ili uliwe upate maexperience ya kutoshaDuh jamani naona ligi kama hazijachanganya ipasavyo sijui nitulie mwezi was kwanza upite
Hamna kitu hapo mkuu naona bado hawaja update tu mkuu mkosi wa kupishana na hela ninao najifikiria kukwepa kuchapa stake ila naweza pishana na helaInawz kua bahati yako, keep praying
Asante MkuuHapo umekula mzee mm mwenyewe kilinitokea kitu kama hcho ila waliiondoa hyo timu nikapewa mpunga kwa timu zilizobaki.
iyo ni kweli ila tatizo majukumu huu mwezi wa kwanza kila mzazi anauelewa vuzurimkuu hii ni business kama zingine, endelea kucheza ili uliwe upate maexperience ya kutosha
ni kweli mkuu lakini ukitulia mara moja moja unatia mikekaiyo ni kweli ila tatizo majukumu huu mwezi wa kwanza kila mzazi anauelewa vuzuri