Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet tangu Jana nimeshindwa kubet nilidepost pesa haikuingia kwenye AC. nimewataarifu Mara nyingi wananambia tu suala langu linashughulikiwa
 
Acha tu mkuu kwenye OT amembwela sana ....nahisi na mimi nahitaji mapumziko kidogo #to quit is not an option/#


Pole sn Chief ...

Mimi jana nilimhofia Bulls baada ya kuangalia H2H na recent form ya Blazers ... niliwaaminia Nets & Raptors, walisaidia kupunguza machungu ya kumfikiria Tamworth/Nunetone


 
Pole sn Chief ...

Mimi jana nilimhofia Bulls baada ya kuangalia H2H na recent form ya Blazers ... niliwaaminia Nets & Raptors, walisaidia kupunguza machungu ya kumfikiria Tamworth/Nunetone


Poa mkuu... ngoja nivute pumzi kidogo
 
1xbet tangu Jana nimeshindwa kubet nilidepost pesa haikuingia kwenye AC. nimewataarifu Mara nyingi wananambia tu suala langu linashughulikiwa
mkuu hebu nipe hatua ulizo fanya wakati unaweka pesa nione kama kuna mahali ulikosea.
jana nimefund account yangu mara mbili
haizidi dakika pesa imesha soma.
beti iki win unatumiwa mkeka kwrnye email
vilevile iki lose unatumiwa kwenye email kama notification
bado sijawajaribu kwenye kuwithdraw tu napo nitaleta mrejesho.

mfano wa notification kwenye e-mail

 
1xbet tangu Jana nimeshindwa kubet nilidepost pesa haikuingia kwenye AC. nimewataarifu Mara nyingi wananambia tu suala langu linashughulikiwa
hawa jamaa ni wazembe sana customer care yao ni ya hovyo sijawahi ona. mimi nilituma 1500 kutoka tigo pesa mpaka sasa haijaingia ukiwasiliana nao hawaeleweki ngoja nikomae na princessbet.
 
hawa jamaa ni wazembe sana customer care yao ni ya hovyo sijawahi ona. mimi nilituma 1500 kutoka tigo pesa mpaka sasa haijaingia ukiwasiliana nao hawaeleweki ngoja nikomae na princessbet.
Mimi Jana nimejinyima pesa ili nibet sasa uhum walionifanyia hadi najuta kuwafaham
 
m.pesa *150*00#

4. lipa kwa m.pesa

4. namba ya kampun (400700)

....kumbukumbu no# (0081bet)

...kiasi(...)
...namba ya siri(...)
...[HASHTAG]#confirm[/HASHTAG].
 
m.pesa *150*00#

4. lipa kwa m.pesa

4. namba ya kampun (400700)

....kumbukumbu no# (0081bet)

...kiasi(...)
...namba ya siri(...)
...[HASHTAG]#confirm[/HASHTAG].
Ninachodhani mimi... Lazima kwanza process ya kuweka pesa ianze kule unapotaka kuweka hiyo pesa na sio kulipa tu moja kwa moja, hawa beyonic ni kama daraja tu kuwezesha pesa yako kupita kwenda huko.... So lazima uanze process huko upate sms ya namna ya kulipia ndio ulipie.... Nadhani ni hivyo tu
 
hawa jamaa ni wazembe sana customer care yao ni ya hovyo sijawahi ona. mimi nilituma 1500 kutoka tigo pesa mpaka sasa haijaingia ukiwasiliana nao hawaeleweki ngoja nikomae na princessbet.
Hawa jamaa hawatumii tigopesa hapo ndipo ulipokosea.... ni M-pesa na Airtel money tu... jana nimeweka pesa kwa mara ya kwanza kwa mobile money na ilifika hata dk 1 haikuisha
Pia waweza tumia visa card hii njia ndio nilikuwa naitumia siku zote
 
m.pesa *150*00#

4. lipa kwa m.pesa

4. namba ya kampun (400700)

....kumbukumbu no# (0081bet)

...kiasi(...)
...namba ya siri(...)
...[HASHTAG]#confirm[/HASHTAG].
kumbukumbu namba ni
008 dusupay
nilijaribu kutumia namba hiyo uliyotumia muamala ukawa cancelled.
hiyo namba ina space katikati kama inavyo onekana hapo.
 
Hivi hii game ya Mbeya City na Kagera sugar itaendelea kuanzia dk iliyoishia ama itaanza upya, maana imeshikilia pesa yangu nzuri
Nafikiri itachezwa fulltime maana naona makampuni yameiweka tena ingekuwa inachezwa kwa muda uliobakia wasingeiweka
 
kumbukumbu namba ni
008 dusupay
nilijaribu kutumia namba hiyo uliyotumia muamala ukawa cancelled.
hiyo namba ina space katikati kama inavyo onekana hapo.
basi yawezekana makosa yako kwangu, lakini haiwezi kuwa kigezo cha kutolitatua taizo dogo kama hili. Vodacom nimewapigia Jana na Leo wanasema muamala ulishakamilika na pesa iliwafikia wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…