Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo kampuni nyingine??
Nilichokuwa nasema ni uwe na account huko 1xbet so ukikosa opt kwenye hizi kampuni za kibongo unaweza tumia 1Xbet kupata hizo opt za kona kwa kila mechi zipo....na nyingine nyingi...
Hii sio kampuni ya hapa tz iko Urusi....kwa Dr shika
 
Nafikiri itachezwa fulltime maana naona makampuni yameiweka tena ingekuwa inachezwa kwa muda uliobakia wasingeiweka
mkuu tambua kuwa huwezi kudepost bila kuwa na account, kila kapun inaprocess zake. sasa sijui ni mjinga gani atakae weza kutuma pesa asijue anaitumaje na inafikia wapi, na ataingalizia wapi kama imefika
 
2f34c956c26baeffef7dc584450415db.jpg
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/daf60ecde47f7f98040d3d188b9e036e.jpg[/IMG
Nataka kujilipua wakuu
 
Nilichokuwa nasema ni uwe na account huko 1xbet so ukikosa opt kwenye hizi kampuni za kibongo unaweza tumia 1Xbet kupata hizo opt za kona kwa kila mechi zipo....na nyingine nyingi...
Hii sio kampuni ya hapa tz iko Urusi....kwa Dr shika
Kuna kitu wanasema code ni namba Gani labda ? Wakati wa kusajili
 
Hivi utaratibu wa princess bet kwa mechi zilizogailishwa ni upi,wanakata point za mechi zilizogailishwa na kukupa mpunga wako ama,mtu unasubilia mpka hizo game zichezwe.!?
 
Nawasalim ndugu zangu..mm nimeanza kwa mkeka huu vp maoni yenu
 
Attachments

  • IMG_20180102_114130.JPG
    IMG_20180102_114130.JPG
    25.2 KB · Views: 34
Habari za asubuhi wadau?

Naomba msaada juu ya hii options?
View attachment 666334
Hiyo away team inaongoza goli mbili bila na ni half time, sasa tufanye kama tunafuta hayo matokeo na matokeo yatasomeka hivi 0-0 kwa muda utakaokuwa umebaki, sasa basi kipindi cha pili/ au kwa muda uliobaki mpaka mechi kuisha unatabiri matokeo ( home win, draw au away win) pasipo kuangalia/kujumuisha matokeo ya awali
 
Ahsante mkuu! Nimekusoma
 
1xbet tangu Jana nimeshindwa kubet nilidepost pesa haikuingia kwenye AC. nimewataarifu Mara nyingi wananambia tu suala langu linashughulikiwa
1xbet ni kampuni yenye walamikaji wengi zaidi kwa kukataa kulipa hela pale unaposhida mkeka fuatilia internet uone ushauri wangu bet kwenye kampuni ambazo ukishinda mkeka unapata hela yako bet kampuni kama princessbet,premierbet kama unapenda kampuni za nje bet kwenye bet365 na Ladbrokes hawa hawana longolongo kwenye ulipaji
 
Back
Top Bottom