Nilichokuwa nasema ni uwe na account huko 1xbet so ukikosa opt kwenye hizi kampuni za kibongo unaweza tumia 1Xbet kupata hizo opt za kona kwa kila mechi zipo....na nyingine nyingi...Hiyo kampuni nyingine??
mkuu tambua kuwa huwezi kudepost bila kuwa na account, kila kapun inaprocess zake. sasa sijui ni mjinga gani atakae weza kutuma pesa asijue anaitumaje na inafikia wapi, na ataingalizia wapi kama imefikaNafikiri itachezwa fulltime maana naona makampuni yameiweka tena ingekuwa inachezwa kwa muda uliobakia wasingeiweka
Wanatumia voda na eatel mkuuVipi deposit na kuwithdraw..kwa tigo
Yah kweli nduguPole sn
Ila nakumbuka
Nilkuonya khs hzo direct win
Kuna kitu wanasema code ni namba Gani labda ? Wakati wa kusajiliNilichokuwa nasema ni uwe na account huko 1xbet so ukikosa opt kwenye hizi kampuni za kibongo unaweza tumia 1Xbet kupata hizo opt za kona kwa kila mechi zipo....na nyingine nyingi...
Hii sio kampuni ya hapa tz iko Urusi....kwa Dr shika
Na tigo ipo mkuuWanatumia voda na eatel mkuu
hiyo code achana nao sio muhimuKuna kitu wanasema code ni namba Gani labda ? Wakati wa kusajili
Nimefanikiwa na kupata App yao imekua rahisi ila nadhani iko Poa kulikohiyo code achana nao sio muhimu
Hiyo away team inaongoza goli mbili bila na ni half time, sasa tufanye kama tunafuta hayo matokeo na matokeo yatasomeka hivi 0-0 kwa muda utakaokuwa umebaki, sasa basi kipindi cha pili/ au kwa muda uliobaki mpaka mechi kuisha unatabiri matokeo ( home win, draw au away win) pasipo kuangalia/kujumuisha matokeo ya awali
Hiyo ya handicap kwa watford hatari sana
Nataka nijilipue wakuu
Kabisa mkuu nahis City atapiga mtu hata nne aseeHiyo ya handicap kwa watford hatari sana
City kadraw juzi leo Gurdiola ataua mtu su chini ya mbili
Hiyo away team inaongoza goli mbili bila na ni half time, sasa tufanye kama tunafuta hayo matokeo na matokeo yatasomeka hivi 0-0 kwa muda utakaokuwa umebaki, sasa basi kipindi cha pili/ au kwa muda uliobaki mpaka mechi kuisha unatabiri matokeo ( home win, draw au away win) pasipo kuangalia/kujumuisha matokeo ya awali
1xbet ni kampuni yenye walamikaji wengi zaidi kwa kukataa kulipa hela pale unaposhida mkeka fuatilia internet uone ushauri wangu bet kwenye kampuni ambazo ukishinda mkeka unapata hela yako bet kampuni kama princessbet,premierbet kama unapenda kampuni za nje bet kwenye bet365 na Ladbrokes hawa hawana longolongo kwenye ulipaji1xbet tangu Jana nimeshindwa kubet nilidepost pesa haikuingia kwenye AC. nimewataarifu Mara nyingi wananambia tu suala langu linashughulikiwa