Nataka nijilipue wakuu
Naufanyia kaz ushauri wako BuddyNilisikia/kusoma sehemu kuwa Kevin De Bruyne na David Silva hawatakuwepo leo kwny kikosi cha Man City ... muhimu kufuatilia hili kabla kujajicommit mkuu ... ukizingatia recently Man City hawatoi magoli mengi (refer mechi vs Newcastle ambayo walitoka na ushindi mwembaba 0-1, na vs Crystal Palace walidraw tasa 0-0).
Hivi kuna kampuni la kubet lenye odd ya under 3.5? kwa hapa Tz
kampuni yenye under 3.5 ni ip bongoI am not a prophet neither am i an evangelist, but what I know one thing you are still using 2017 toothbrush
meridiani wana 0-3 yaani kwa mechi nzima magoli yaanzie matatu kushuka chinikampuni yenye under 3.5 ni ip bongo
Mkuuu VIP 1xbet kuna ailyewahi kuwithdraw???meridiani wana 0-3 yaani kwa mechi nzima magoli yaanzie matatu kushuka chini
pia premierbet wanayo hiyo option