Yorke
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 236
- 260
Jaribu kutoa hela kama unawezareally?
Jaribu kutoa hela kama unawezareally?
Huo mtandao unahusiana na KUBET?Habarini za leo wadau wa maendeleo ya Teknolojia , leo nimeleta jukwaani mfumo wa mawasiliano ( social media ) , iliyo tengenezwa na wazalendo wa kitanzania. ( 2daySky )
Mara kadhaa vijana wa kitanzania wamekuwa wakijituma kuondoa utegemezi wa teknolojia za hali ya juu kutoka mataifa ya nje.
Vijana wetu wametengeneza mtandao ambao hadi sasa una maelfu ya watanzania . Ki ukweli watu wamekuwa wazalendo halisi kwani ni mafuliko makubwa sana ya watanzania wamejiunga.
Mimi naona huu ni wakati sahihi kuwaunga mkono kwa hali na mali .
Tanzania ni yetu moja , tuonyeshe uzalendo kwa kujali vya nyumbani.
Kama uliwahi kuona mtandao huu wiki moja iliyopita . basi kuna mabadiliko makubwa kupindukia , yaliyofanyika. https://play.google.com/store/apps/details…
Kampuni gan ina hyo option ya headerEngland. Premier League
Manchester City - Watford
How The Goal Will Be Scored (Headed Goal - No) Hii options ina point kama 1.57 nimeiweka nijaribu iko vipi
Hiyo 1xbet wana hiyo kituKampuni gan ina hyo option ya header
Kampuni gan ina hyo option ya header
Jana liva na Burnley ilikuwa na header mbili kuwa makini
tuache upotoshaji. kuna mtu hapo kasema ni kuweka tu muda huohuo nimejaribu kuvuta elfu tatu imechukua kama dk 10 tu pesa imeingia
ushahidi huu hapa
View attachment 666419 View attachment 666418 View attachment 666417 View attachment 666419
Jaribu kutoa hela kama unaweza
Boss umeulizwa hapo juu, hii mambo inahusika na betting na the likes au niaje!!!Habarini za leo wadau wa maendeleo ya Teknolojia , leo nimeleta jukwaani mfumo wa mawasiliano ( social media ) , iliyo tengenezwa na wazalendo wa kitanzania. ( 2daySky )
Mara kadhaa vijana wa kitanzania wamekuwa wakijituma kuondoa utegemezi wa teknolojia za hali ya juu kutoka mataifa ya nje.
Vijana wetu wametengeneza mtandao ambao hadi sasa una maelfu ya watanzania . Ki ukweli watu wamekuwa wazalendo halisi kwani ni mafuliko makubwa sana ya watanzania wamejiunga.
Mimi naona huu ni wakati sahihi kuwaunga mkono kwa hali na mali .
Tanzania ni yetu moja , tuonyeshe uzalendo kwa kujali vya nyumbani.
Kama uliwahi kuona mtandao huu wiki moja iliyopita . basi kuna mabadiliko makubwa kupindukia , yaliyofanyika. https://play.google.com/store/apps/details…
1xbet haija registered tanzania siku hawatakupa hela yako na hakutokua wa kukutetea na 1xbet ina rate ya 2/5 watu wanashauriwa kubet kwenye kampuni zinazoanzia na rate ya 4/5 mwisho 1xbet ina odds kubwa sana wasikudanganye na odds zaotuache upotoshaji. kuna mtu hapo kasema ni kuweka tu muda huohuo nimejaribu kuvuta elfu tatu imechukua kama dk 10 tu pesa imeingia
ushahidi huu hapa
View attachment 666419 View attachment 666418 View attachment 666417 View attachment 666419
inaitwa https://1xbet.com naona jamaa wana option nzuri kiana MkuuKampuni gan ina hyo option ya header
Uncle tunaheshimu Hustles zako, na ww heshimu zetu. Hili n jukwaa la Betting sio Billboard ya Matangazo.Habarini za leo wadau wa maendeleo ya Teknolojia , leo nimeleta jukwaani mfumo wa mawasiliano ( social media ) , iliyo tengenezwa na wazalendo wa kitanzania. ( 2daySky )
Mara kadhaa vijana wa kitanzania wamekuwa wakijituma kuondoa utegemezi wa teknolojia za hali ya juu kutoka mataifa ya nje.
Vijana wetu wametengeneza mtandao ambao hadi sasa una maelfu ya watanzania . Ki ukweli watu wamekuwa wazalendo halisi kwani ni mafuliko makubwa sana ya watanzania wamejiunga.
Mimi naona huu ni wakati sahihi kuwaunga mkono kwa hali na mali .
Tanzania ni yetu moja , tuonyeshe uzalendo kwa kujali vya nyumbani.
Kama uliwahi kuona mtandao huu wiki moja iliyopita . basi kuna mabadiliko makubwa kupindukia , yaliyofanyika. https://play.google.com/store/apps/details…
asante kwa tahadhari1xbet haija registered tanzania siku hawatakupa hela yako na hakutokua wa kukutetea na 1xbet ina rate ya 2/5 watu wanashauriwa kubet kwenye kampuni zinazoanzia na rate ya 4/5 mwisho 1xbet ina odds kubwa sana wasikudanganye na odds zao
Jamaa Kashindwa kutuheshimu aiseee, sisi tunajadil mengine yy analeta social media tena!Kampuni gan ina hyo option ya header
Ahsante kwa ushauri mimi ndo nimejiunga leo nisha tupia buku jero yangu napia nishaneti ngoja tuone kama kweli1xbet haija registered tanzania siku hawatakupa hela yako na hakutokua wa kukutetea na 1xbet ina rate ya 2/5 watu wanashauriwa kubet kwenye kampuni zinazoanzia na rate ya 4/5 mwisho 1xbet ina odds kubwa sana wasikudanganye na odds zao
Kha!Hiyo 1xbet wana hiyo kitu
Na mimi nasubiria jibuKampuni gan ina hyo option ya header