NI WAZO ZURI,
Ila ni muhimu kuwaza nje ya box,
Mechi zenyewe hzo za basket znakuaga ngapi kwa siku?
Au unataka wadau wasilale na muamala mkuu?
Hata hicho kikapu unachosema ww ni rahisi kuna watu kina waliza daily,
All in all,
Ili ufanikiwe ktk betting yoyote, Iwe soccer, basket, tennis, hockey.
Ni muhimu kua information na statistics za kutosha ktk mchezo husika.
Mimi sjaamua kuinvest ktk basket maana sina uzoefu wala information za kutosha khs huo mchezo.
Pili, naona basket iko limited sn kwny upande wa mechi.
ie: ina MECHI chache sn kwa siku.
My plan,
Naendelea kujipa muda kabla ya kuhamia huko.
Huku nikijifunza mambo kadha WA kadha khs huo mchezo.
Pia najtahd kdg kdg kukusanya information na statitistics khs huo mchezo.
I WISH NEXT YEAR, I WISH TO START INVESTING THERE.