DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Karibu sn mkuu,Jamani habari za mchana ndugu zangu?
Najua hang over ya balimi za jana, ndo maana umechelewa kibaruani.
Karibu sn mkuu,Jamani habari za mchana ndugu zangu?
AMA KWELI[emoji1] [emoji1] [emoji1] samahn wakuu nilikuwa nimelala nimechanganya thread
Ha ha ha.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] samahn wakuu nilikuwa nimelala nimechanganya thread
Company gani hii?
Jana nilijidunga chupa zangu nne chumbani mwezi huu si wakienda kuketi na marafiki bar mnaweza tiana ujinga mkatakatisha fedha pale kumbe wenzako walishamalizana na vijana pale tu term ya mwisho ilipoishaKaribu sn mkuu,
Najua hang over ya balimi za jana, ndo maana umechelewa kibaruani.
meridianCompany gani hii?
Hujaeleweka kabisabetting is a unpredictable ila siku ikikufikia umeotea ndio siku yako kwa hiyo we beti unavyoweza tumia akili yako maana hakuna nabii anaeijuwa itakuaje mbele
Refresh home page.Wajuvi wa princessbet nimedeposit pesa toka asubuhi hadi sasa sioni chochote hawajui sisi wengine ndio ajira yetu! wanataka kunilaza njaa hawa.
Namba yao yenyewe nikipiga naambiwa nimekosea
Wazo Tu :
Kueni makini sana na Man City kwa 3+, natazama SS3 muda huu epl news zinasema Gabriel Jesus ni injury(Knee ligament), KDB ni injury pia, David Silva haijajulikana kama atacheza leo maana alienda Spain ku solve issue zake, sasa usije kushangaa City anashinda 1-0 tena anafunga Sterling ama Aguero dk za majeruhi uko. Ikumbukwe kua hii ni round ya pili ya ligi watu hawataki kushuka daraja. Nashauri subiri Team sheets zitoke 30mins before game kuanza
Honestly,Boss kwan
Bet365
Williamhill
Ladbrokers
Izi zote ni international betting coy
Na hazija sajiliwa tz ila still kuna watu wana zitumia inakuaje ww una sema 1xbet haija sajiliwa bongo na Mr. Q apo ame tuonesha sms muda mfupi baada ya kutoa pesa imekubali??
Au ww uliitumia kipind cha nyuma ndo uje kuconclude kwamba iyo kampuni haifai na haija sajiliwa bongo so una taka tutemane nao??
Mbona sisi wengine tunatoa na kuweka... nyie tatizo liko wapi..?Jaribu kutoa hela kama unaweza
Ha ha ha ha kila la kheri Mkuu....nakukumbusha uyo Aguero hafungi bila kupewa assist na hao watu ambao wengine muhimu leo hawamo, all in all hii ni bettingAksante sana mkuu, ila kujazia rekodi ya Aguero kwa Watford inatisha mno + sterling
bet 365 ndio kampuni bora kabisa ya kubet....una watch mechi live huku unabet na option za kumwagaBoss kwan
Bet365
Williamhill
Ladbrokers
Izi zote ni international betting coy
Na hazija sajiliwa tz ila still kuna watu wana zitumia inakuaje ww una sema 1xbet haija sajiliwa bongo na Mr. Q apo ame tuonesha sms muda mfupi baada ya kutoa pesa imekubali??
Au ww uliitumia kipind cha nyuma ndo uje kuconclude kwamba iyo kampuni haifai na haija sajiliwa bongo so una taka tutemane nao??
Mkuu hii game akicheza Aguero na Sterling inatosha sana, jaribu kuangalia rekodi yao kwa WatfordMm mwny nmewastuka hao wadau.
Ndo maana nmebet first half.
"1st half-Not both team to score"