1xbet kapun ya hovyo kbx nimejiunga Jana kwa Mara ya kwanza pesa yangu wamekwapua tangu Jana nimewasisiiza wameniomba screenshot Mara id no# vyote nimewapa lakini longo longo iko pale pale naambiwa nisubiri wanashughukikia tatizo, serious tangu Jana asbuhi hadi sasa pesa hawajaweka. nimejaribu kuwapigia voda zaidi ya Mara moja wanasema muamala ulishakamilika hivyo hawana mamlaka ya kuirudisha pesa. nimejaribu kuingia kwenye forums baadhi kuangalia malalamikio ya watu kuhusu kampun hii, numekutana na vilio vya wengi. wengi wanafungiwa akaunt zao bila taarifa wala sababu maarum, yaani account yako ikisoma 200£ jiandae kisaikolojia. kwenye pesa kama ni nyingi unapewa process ndefu Mara vitambulisho na hata ukiwapa bado hutapata sitahiki zako. malalamiko mengine ni kupunguza odds , mfano umeandaa mkeka wako wenyde odds7 ukatia stake, mkeka ukitick unakuta odds 3 so malipo yako lazima yapungue. malalamiko ni mengi sana hawa jamaa hawafai hata kidogo japo wanaoption nyingi hasa option ya kona league zote hata zile za mchangani kona utaikuta! odds nazo siyo haba zimejazia, aina za michezo ni nyingi sana ni wewe tu utajagua ubeti nini, wale wazee wa inplay kuna kitufe cha fast bet so ukikiweka on ukasete na stake yako, yaani ukiclick tu option tayari moja kwa moja mkeka unakuwa umejiset na umeulipia tayari, unaweza kubet huku ukistream match yako KWA wazee wa in play, in play kuna statist za GAM husika unayotaka kutia stake, unaweza angalia wamepigana washot mangapi, foul ngapi, ball position, corner, goal on target , goal off target na mengine mengi. ILA TATIZO LAO KUU NI HILO LA UBABAISHAJI KWAHIYO NDGU ZANGU TUKAE CHONJO HASA KWA WATU KAMA @DEEPOND WANAOTIA STAKE MLIMA! maana inasemeka wao wanadeal na pesa ndefu yaani account ikinona lazima wakufanyie figisu.