Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata km option nzur kias gan.

At the end natakiwa kuchukua muamala.

Sasa kampun yenyewe naskia hata TZ hawajasajiliwa.

2nd, naskia kudeposit n withdraw wanadai cheti cha ndoa na ubatizo

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16](jokin)

ILA KIUKWELI,
SIPENDAGI KABISA UBABAISHAJI, MKEKA WANGU UKISHATICK

Naitaka hela yangu on spot, habar za
-Eti fungua ac benki.....
-Eti nenda western union.....
-Eti Fanya ku upload pass ya kusafiria....

Kha!
Hayo yote ya nn.

NI BORA TU NIENDELEE KOMAA NA HAWA HAWA MABINTI WA MFALME.
Mabinti wa Mfalme[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] . Ndo watamu hawa, Na Zali juu la Utajiri[emoji39] [emoji23]
 
Si kweli, mnakosea sana, Trust me kwa singlebet unaweza kuweka mikeka kumi akakupiga mmoja na mikeka 9 ukamla. Chance ya kumla ni kubwa sana kuliko kuliwa. Hii ya kujaza matimu unakaribisha wachawi wa kuchana unabaki kulia daily kua team moja imeniharibia.

Jst imagine ktk mkeka mmoja unaoweka team kumi alafu inatokea team moja imeharibu na kuchanika, wht if ungeiweka ki single single ikiwa 10, hapo uoni kama ungekula mikeka tisa na kupoteza uo mmoja tu.

uko sawa mkuu lakin hapo nadhan tunarudi kwenye msingi wa hoja kuwa tatizo n mtaji
 
upload_2018-1-2_18-13-14.png


Mbeya City ameshakamilisha kazi ya jana...BET WON
 
Kama upo serious na hii business ndio inabidi uchukue hata lak5 ya mwez mmoja ya mshahara wako si ndio kuwekeza au wewe wanaposema kuwekeza ktk hii thread unawaza nini Mkuu?
ahahahah anafikiri labda ni kutafuta 10000 na kutafuta odds 50 ili apate laki tano.
 
Slot No. 2
Peterhead FC - Elgin City
Peterhead FC
1.40

Greenock Morton FC - FC St Mirren
Over 1.5
1.27

Hizi nadhani zimeanza unaweza ziwahi inplay
 
Back
Top Bottom