Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Mkuu kikapu niko mtupu sana, uwe unanitag tu
OK mkuu ...games huwa saa nane na dk 35 (1435hr) mchana.
Mkuu kikapu niko mtupu sana, uwe unanitag tu
game zilikua sa ngap???
Yap yap mkuu hii inabidi iwe reasonable business with reasonable profits hata ivo ukijaribu kufanya tathmini nzuri utagundua betting ina marejesho mazuri sana kibiashara ukilinganisha na mtaji unaowekezaYeah vizuri Mkuu, ila usije weka mshahara wote. Robo ya mshahara tu iyo inatosha usije vuruga mipango ya kifamilia mkagombana na mkeo ha ha ha ha ha. Na si lazima sana upo uwezekano mwengine mkubwa wa ku generate mtaji hata ukiwa na buku2 mfukoni ndani ya week moja
Mchawi wa 28 odds huyu apaView attachment 666519
Kwa mkakati upi wa kuikuza 2000Yeah vizuri Mkuu, ila usije weka mshahara wote. Robo ya mshahara tu iyo inatosha usije vuruga mipango ya kifamilia mkagombana na mkeo ha ha ha ha ha. Na si lazima sana upo uwezekano mwengine mkubwa wa ku generate mtaji hata ukiwa na buku2 mfukoni ndani ya week moja
Si mchezo hao maana yake inabidi kuwabetia hata unapokua ofsini, anyway Mkuu we ukitupia nistue tuSaa Nane na dk 35 mchana
Si mchezo hao maana yake inabidi kuwabetia hata unapokua ofsini, anyway Mkuu we ukitupia nistue tu
ThanksDaaah aisee pole sn Chief ... what a miss [emoji1324]♂️
Ni kweli chiefDah pole Mkuu umemkosa kosa kidogo hapo kumuotea, hii ndio ile nilikua namwambia mdau mmoja hapa, sasa imagine hao wote wangekua mkeka wa single single, maana yake ungechana mmoja tu hapo mingine yote ungekua umempiga. So point inakuja kwa single rate ya kuliwa upungua plus kuna time mnagawana anaweza kukupiga miwili we ukampiga mitatu nk
Tafuta leo game moja moja zilizoachana muda wa kuchezwa kisha cheza option yrnye possibility kuwa.Kwa mkakati upi wa kuikuza 2000
daaah hatari sana mkuuHahaha ... waChina utafkiri kila sekunde wanatupia kikapu. Mimi ikibaki dk 2 au 1 halafu bado vikapu 10-15, sina shaka nao kbs. Lazima vitafika tu.
???Alosto mbaya sana asee....nataka nichape stake kwa kuwaomba kona 9 wafuato
Atalanta
Crstal palace
Tottenham
Odds 2.31 ushauri tafadhali
Alosto mbaya sana asee....nataka nichape stake kwa kuwaomba kona 9 wafuato
Atalanta
Crstal palace
Tottenham
Odds 2.31 ushauri tafadhali
Slot No. 2
Peterhead FC - Elgin City
Peterhead FC
1.40
Greenock Morton FC - FC St Mirren
Over 1.5
1.27
Hizi nadhani zimeanza unaweza ziwahi inplay