Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Nimtie west brom hapo?Tottenham ni mzushi sana kwenye kona
Nimtie west brom hapo?Tottenham ni mzushi sana kwenye kona
UKITAKA KUSURVIVE NA HII HAKIKISHA UNATOA KIASI PEMBENTafuta leo game moja moja zilizoachana muda wa kuchezwa kisha cheza option yrnye possibility kuwa.
Let say ungeanza ya asubuhi
2000x1.5 = 3000
3000x1.5=4500
4500x1.5=6750 nk.
Cheza single bet ila tafuta games zenye high chance ya kutoa, kumbuka upo pia uwezekano wa kupoteza but si mbaya maana unakua ulijaribu buku 2 tu
Nimtie west brom hapo?
Bet wonSlot No. 2
Peterhead FC - Elgin City
Peterhead FC
1.40
Greenock Morton FC - FC St Mirren
Over 1.5
1.27
Hizi nadhani zimeanza unaweza ziwahi inplay
Tulishavuta pesa Mkuu...kwa Odd 10Yule wa game ya mbeya city na kagera imepigwa wametoka 0-0 FT
Pole Mkuu tumeshavuta pesa yakeNimeichelewa hii
kwa odds ngapi.Si kweli, mnakosea sana, Trust me kwa singlebet unaweza kuweka mikeka kumi akakupiga mmoja na mikeka 9 ukamla. Chance ya kumla ni kubwa sana kuliko kuliwa. Hii ya kujaza matimu unakaribisha wachawi wa kuchana unabaki kulia daily kua team moja imeniharibia.
Jst imagine ktk mkeka mmoja unaoweka team kumi alafu inatokea team moja imeharibu na kuchanika, wht if ungeiweka ki single single ikiwa 10, hapo uoni kama ungekula mikeka tisa na kupoteza uo mmoja tu.
BET WONMorton vs St.Mirren
Tips X/X Odds 5:50 in play
asante kwa mrejesho na tahadhari pia1xbet kapun ya hovyo kbx nimejiunga Jana kwa Mara ya kwanza pesa yangu wamekwapua tangu Jana nimewasisiiza wameniomba screenshot Mara id no# vyote nimewapa lakini longo longo iko pale pale naambiwa nisubiri wanashughukikia tatizo, serious tangu Jana asbuhi hadi sasa pesa hawajaweka. nimejaribu kuwapigia voda zaidi ya Mara moja wanasema muamala ulishakamilika hivyo hawana mamlaka ya kuirudisha pesa. nimejaribu kuingia kwenye forums baadhi kuangalia malalamikio ya watu kuhusu kampun hii, numekutana na vilio vya wengi. wengi wanafungiwa akaunt zao bila taarifa wala sababu maarum, yaani account yako ikisoma 200£ jiandae kisaikolojia. kwenye pesa kama ni nyingi unapewa process ndefu Mara vitambulisho na hata ukiwapa bado hutapata sitahiki zako. malalamiko mengine ni kupunguza odds , mfano umeandaa mkeka wako wenyde odds7 ukatia stake, mkeka ukitick unakuta odds 3 so malipo yako lazima yapungue. malalamiko ni mengi sana hawa jamaa hawafai hata kidogo japo wanaoption nyingi hasa option ya kona league zote hata zile za mchangani kona utaikuta! odds nazo siyo haba zimejazia, aina za michezo ni nyingi sana ni wewe tu utajagua ubeti nini, wale wazee wa inplay kuna kitufe cha fast bet so ukikiweka on ukasete na stake yako, yaani ukiclick tu option tayari moja kwa moja mkeka unakuwa umejiset na umeulipia tayari, unaweza kubet huku ukistream match yako KWA wazee wa in play, in play kuna statist za GAM husika unayotaka kutia stake, unaweza angalia wamepigana washot mangapi, foul ngapi, ball position, corner, goal on target , goal off target na mengine mengi. ILA TATIZO LAO KUU NI HILO LA UBABAISHAJI KWAHIYO NDGU ZANGU TUKAE CHONJO HASA KWA WATU KAMA @DEEPOND WANAOTIA STAKE MLIMA! maana inasemeka wao wanadeal na pesa ndefu yaani account ikinona lazima wakufanyie figisu.
Mkuu hata ww kanji amekupeleNAJICHANGAMSHA TU BADO NIPO LIKIZO
Hapo nimekusoma mkuuUjanielewa, hapo maana yake kwa matokeo yoyote yale kama West Ham asiposshinda kwa tofauti ta goli 2 napiga pesa. Maana hzo goli nilizowapa WBA zitakua hazijafutwa na West Ham
Yaani West Ham akishinda 2-1, 3-2,1-0 ama West Brom akishinda kwa ushindi wowowte mimi nakua nimepata pesa
Nipo katika kutafuta mtaji wa maana ili nikianza niweke stake ya kutetemesha moyoMkuu hata ww kanji amekupele
kalikizo aiseee na Vle single bet
Zako zlikua znatoa dhaaa
mkuu yani mimi naitumia single na wakati mwingine inakuwa na odds nyingi kuliko hata ungeweka mikeka 5Si kweli, mnakosea sana, Trust me kwa singlebet unaweza kuweka mikeka kumi akakupiga mmoja na mikeka 9 ukamla. Chance ya kumla ni kubwa sana kuliko kuliwa. Hii ya kujaza matimu unakaribisha wachawi wa kuchana unabaki kulia daily kua team moja imeniharibia.
Jst imagine ktk mkeka mmoja unaoweka team kumi alafu inatokea team moja imeharibu na kuchanika, wht if ungeiweka ki single single ikiwa 10, hapo uoni kama ungekula mikeka tisa na kupoteza uo mmoja tu.
Wale wazee point mbili mzigo huo hapo kazi kwenu
RAITH ROVERS (2.5) 1.50
DUNDEE UTD (2.5) 1.60