Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwa odds ngapi.

kama ndo hizi 1.20 or 1.45

kila siku unajikuta mtaji ndo unazunguka pale pale


but single ni nzuri lakini upate walau odd 1.7+

Hivi anayeweka laki 1 kwahyo mikeka ya Odds 1.45 single bet na kupata faida ya elfu 45 kila siku na uyu anaechana kwa team moja kumuaharibia kila siku yupi anaingiza pesa?Mkuu hivi ustuki kila siku watu wanaishia mitaji wanaenda kutafuta. Ukijaza team chance ya kukosa ni kubwa mnoo, am speaking kutokana na experiance, hapa ndio utaelewa kwanini Kanji anaingiza sana siku ambazo zinakua na game nyingi. Hii ni sababu watu upagawa kuona team nyingi na kutaka kucheza kila team mwsho wa siku wachawi utokea lakini kama mtu akitulia ktk game zote akatafuta mechi moja tu ya single ya uhakika halali njaa
 
upload_2018-1-2_20-33-48.png


Slot No. 3 BET WON
 
Naomba msaada namna ya kugenerate mtaji wa 2000 walau nami nianze kupata hela za kulipia bills.Itapendeza hata kunipa odd
 
Kamaulichambua hatambili mashallah

Daily over 2.5
*******************
6B2N5G5
6721 Premier League
Manchester City - Watford
Over(2.5) 1.32
8935 League One


Albion Rovers - Airdrieonians
Over(2.5) 1.43

[HASHTAG]#woooooooon[/HASHTAG]


8939 League One
Stranraer - Ayr Utd
Over(2.5) 1.43

[HASHTAG]#woooooooooooon[/HASHTAG]

Odd 2.70
 
Mapemaa kama ulichomoaa hata tatu mashallah

England
Swansea vs Tottenham
Tip; over 2.5


Scotland
Dundee Utd vs Brechin City
Tip: over 2.5

[HASHTAG]#woooooooooooooon[/HASHTAG]


Scotland
Forfar Athletic vs Arbroath
Tip: over 2.5
Scotland

[HASHTAG]#woooooooon[/HASHTAG]

Albion Rovers vs Airdrieonians
Tip: over 2.5

[HASHTAG]#woooooooooooon[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom