usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Yap unabet Kila baada ya kama 3daysndo hivyo mkuu tatizo la basket ni kwamba sio kila siku utabeti
Kwa basketball
Yap unabet Kila baada ya kama 3daysndo hivyo mkuu tatizo la basket ni kwamba sio kila siku utabeti
Ndo hapo Sasatatizo la single unaweza mpiga mitatu. but yeye akikupiga mmoja tu kakuumiza
Mkuu kwani huwa unatembea nazo??Share Slot za leo mkuu
Rusha mikeka mapema tunakili kiongozitamu mkuu hasa kwny basket hauwezi liwa mikeka mingi mfululizo ktk mikeka 10 lazima 7 au 6 upige pesa
Mi nazihitaji sana slot zako mkuu nitembee nazo,mi huwa nastuka tu bet wonMkuu kwani huwa unatembea nazo??
Yap!Mkuu kwani huwa unatembea nazo??
Fuata hii uliyoingia nayo hapaNaomba link ya whattsup group basketball
mkuu huku hamna mambo ya whatsapp group kila kitu ni huku hukuNaomba link ya whattsup group basketball
Si kweli, mnakosea sana, Trust me kwa singlebet unaweza kuweka mikeka kumi akakupiga mmoja na mikeka 9 ukamla. Chance ya kumla ni kubwa sana kuliko kuliwa. Hii ya kujaza matimu unakaribisha wachawi wa kuchana unabaki kulia daily kua team moja imeniharibia.ila ukipigwa mtaji unakatika mazima
Huu ni mkakati mzuriSi kweli, mnakosea sana, Trust me kwa singlebet unaweza kuweka mikeka kumi akakupiga mmoja na mikeka 9 ukamla. Chance ya kumla ni kubwa sana kuliko kuliwa. Hii ya kujaza matimu unakaribisha wachawi wa kuchana unabaki kulia daily kua team moja imeniharibia.
Jst imagine ktk mkeka mmoja unaoweka team kumi alafu inatokea team moja imeharibu na kuchanika, wht if ungeiweka ki single single ikiwa 10, hapo uoni kama ungekula mikeka tisa na kupoteza uo mmoja tu.
Hyo option ya Watford na spurs inamaagan mkuu
Dk 77 bado 0-0Mbeya city na kagera leo....!!????
Sasa timu tANO ZOTE ZA NINIWakuu naombeni timu tano tu maana muhindi kanifilisi mpaka nakiogopa Nina kama 10k stake[emoji120]
Hakuna kitu kikubwa kama mkakati ktk hii kitu pbm nasema kila siku Tamaa ndio inacost sana watu.Huu ni mkakati mzuri
Ule mkeka wako umeshatikDk 77 bado 0-0
Na mimi tamaa inanicost sana.Hakuna kitu kikubwa kama mkakati ktk hii kitu pbm nasema kila siku Tamaa ndio inacost sana watu.