Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazo Tu :

Kueni makini sana na Man City kwa 3+, natazama SS3 muda huu epl news zinasema Gabriel Jesus ni injury(Knee ligament), KDB ni injury pia, David Silva haijajulikana kama atacheza leo maana alienda Spain ku solve issue zake, sasa usije kushangaa City anashinda 1-0 tena anafunga Sterling ama Aguero dk za majeruhi uko. Ikumbukwe kua hii ni round ya pili ya ligi watu hawataki kushuka daraja. Nashauri subiri Team sheets zitoke 30mins before game kuanza


Na mm nilitoa hii tahadhari kwa mdau mmoja alimtanguliza Watford na goli mbili halafu akampa City ushindi. Binafsi nimeona km option ngumu sn kwa leo maana Man City inamiss key players kadhaa.
 
Boss kwan
Bet365
Williamhill
Ladbrokers
Izi zote ni international betting coy
Na hazija sajiliwa tz ila still kuna watu wana zitumia inakuaje ww una sema 1xbet haija sajiliwa bongo na Mr. Q apo ame tuonesha sms muda mfupi baada ya kutoa pesa imekubali??
Au ww uliitumia kipind cha nyuma ndo uje kuconclude kwamba iyo kampuni haifai na haija sajiliwa bongo so una taka tutemane nao??
Warusi si wazungu waaminifu sana katika kufanya nao biashara ukilinganisha na wazungu wa uingereza,ujerumani,sweeden au tuseme tu wazungu wa magaribi wengi ni waaminifu na matajiri kuliko wa ulaya mashariki
 
You must admire the Chinese kwenye Basketball aisee ... hawa jamaa wananipaga raha sn.

Unaweza ukawa umewapa Over 230 halafu Q4 dk 12 (dakika ya mwisho) wakawa na vikapu 218 na wakatoa Over 230 vizr kbs ... Hawa ni majembee !
 
You must admire the Chinese kwenye Basketball aisee ... hawa jamaa wananipaga raha sn.

Unaweza ukawa umewapa Over 230 halafu Q4 dk 12 (dakika ya mwisho) wakawa na vikapu 218 na wakatoa Over 230 vizr kbs ... Hawa ni majembee !
Jamaa wanatoa overs kama hawana akili timamu.
 
basketball ina pesa wakuu
 

Attachments

  • Screenshot-2018-1-2 Display Account.png
    Screenshot-2018-1-2 Display Account.png
    10.9 KB · Views: 36
*TENNIS GURU*
p
[HASHTAG]#woooooooooooooooooon[/HASHTAG]
s
LIVE BET
WTA BRISBANE

KONTA V TOMLJANOVIC

aBET KONTA TO WIN
 
Ligi ya India kweli kimeo home team alikuwa na odd 1.3 naona anaelekea kufa pamoja na kwamba timu pinzani ina red card
 
1xbet kapun ya hovyo kbx nimejiunga Jana kwa Mara ya kwanza pesa yangu wamekwapua tangu Jana nimewasisiiza wameniomba screenshot Mara id no# vyote nimewapa lakini longo longo iko pale pale naambiwa nisubiri wanashughukikia tatizo, serious tangu Jana asbuhi hadi sasa pesa hawajaweka. nimejaribu kuwapigia voda zaidi ya Mara moja wanasema muamala ulishakamilika hivyo hawana mamlaka ya kuirudisha pesa. nimejaribu kuingia kwenye forums baadhi kuangalia malalamikio ya watu kuhusu kampun hii, numekutana na vilio vya wengi. wengi wanafungiwa akaunt zao bila taarifa wala sababu maarum, yaani account yako ikisoma 200£ jiandae kisaikolojia. kwenye pesa kama ni nyingi unapewa process ndefu Mara vitambulisho na hata ukiwapa bado hutapata sitahiki zako. malalamiko mengine ni kupunguza odds , mfano umeandaa mkeka wako wenyde odds7 ukatia stake, mkeka ukitick unakuta odds 3 so malipo yako lazima yapungue. malalamiko ni mengi sana hawa jamaa hawafai hata kidogo japo wanaoption nyingi hasa option ya kona league zote hata zile za mchangani kona utaikuta! odds nazo siyo haba zimejazia, aina za michezo ni nyingi sana ni wewe tu utajagua ubeti nini, wale wazee wa inplay kuna kitufe cha fast bet so ukikiweka on ukasete na stake yako, yaani ukiclick tu option tayari moja kwa moja mkeka unakuwa umejiset na umeulipia tayari, unaweza kubet huku ukistream match yako KWA wazee wa in play, in play kuna statist za GAM husika unayotaka kutia stake, unaweza angalia wamepigana washot mangapi, foul ngapi, ball position, corner, goal on target , goal off target na mengine mengi. ILA TATIZO LAO KUU NI HILO LA UBABAISHAJI KWAHIYO NDGU ZANGU TUKAE CHONJO HASA KWA WATU KAMA @DEEPOND WANAOTIA STAKE MLIMA! maana inasemeka wao wanadeal na pesa ndefu yaani account ikinona lazima wakufanyie figisu.
 
Back
Top Bottom