Habarin za mchana[emoji1] [emoji1] [emoji120]Habarin za asubuh wakuu kuna aliyewah kuwidraw 1xbet nimedeposit imekubali ndan ya dk 5 sijajua kudraw VIP wadau kwa anayefahamu???
Hata jesus hayupo ...Nilisikia/kusoma sehemu kuwa Kevin De Bruyne na David Silva hawatakuwepo leo kwny kikosi cha Man City ... muhimu kufuatilia hili kabla kujajicommit mkuu ... ukizingatia recently Man City hawatoi magoli mengi (refer mechi vs Newcastle ambayo walitoka na ushindi mwembaba 0-1, na vs Crystal Palace walidraw tasa 0-0).
bado sijajaribu soon nitaleta mrejeshoMkuuu VIP 1xbet kuna ailyewahi kuwithdraw???
Najaribu kudeposite nashindwa, na ninapokwama ni kwenye kipengele cha kuweka hela maana pesa nayotakiwa niweke ina senti na voda hawatambui senti, umefanikiwaje mkuuHabarin za asubuh wakuu kuna aliyewah kuwidraw 1xbet nimedeposit imekubali ndan ya dk 5 sijajua kudraw VIP wadau kwa anayefahamu???
Kudeposit imekuchukua mda gan????bado sijajaribu soon nitaleta mrejesho
<30 secondsKudeposit imekuchukua mda gan????
1x bet nakupa kutoa nikuweka tuHabarin za asubuh wakuu kuna aliyewah kuwidraw 1xbet nimedeposit imekubali ndan ya dk 5 sijajua kudraw VIP wadau kwa anayefahamu???
Min 1500.000tsh ......process s unazijua reference no 081 dusupayNajaribu kudeposite nashindwa, na ninapokwama ni kwenye kipengele cha kuweka hela maana pesa nayotakiwa niweke ina senti na voda hawatambui senti, umefanikiwaje mkuu
Sijakuelewa nakupa kutoa???? Yan kutoa huwez unaweka tuu auu???1x bet nakupa kutoa nikuweka tu
really?1x bet nakupa kutoa nikuweka tu
Mara ya kwanza nimejaribu kwa 2700 na mara ya pili nimejaribu kwa 2684 lakini ni zaidi ya nusu saa sijapata mrejesho wowote japo msg ya makato kutoka voda nimepataMin 1500.000tsh ......process s unazijua reference no 081 dusupay
Watford Nina wasiwasi naeMKEKA No. 1
Odds: 4.08
Stake: 50,000 Tsh
Marejesho: 204,000 Tsh
Probability: 87%
Mapambano yanaendelea
View attachment 666411
Hyo ni kawaida kwa man city akiwa away.Nilisikia/kusoma sehemu kuwa Kevin De Bruyne na David Silva hawatakuwepo leo kwny kikosi cha Man City ... muhimu kufuatilia hili kabla kujajicommit mkuu ... ukizingatia recently Man City hawatoi magoli mengi (refer mechi vs Newcastle ambayo walitoka na ushindi mwembaba 0-1, na vs Crystal Palace walidraw tasa 0-0).
Ukitaka kutoa wanaanza kutaka vitambulisho kama leseni ya gari na Cheti cha kuzaliwa na bado hata ukiwapa longolongo kibao mpaka unaona bora uwaachieSijakuelewa nakupa kutoa???? Yan kutoa huwez unaweka tuu auu???
Wewe ni professional gambler
Hana utamaduni ya kufunga goli first half.Watford Nina wasiwasi nae
Mkuu ukitumia app au website?Ukitaka kutoa wanaanza kutaka vitambulisho kama leseni ya gari na Cheti cha kuzaliwa na bado hata ukiwapa longolongo kibao mpaka unaona bora uwaachie
Mara ya kwanza nimejaribu kwa 2700 na mara ya pili nimejaribu kwa 2684 lakini ni zaidi ya nusu saa sijapata mrejesho wowote japo msg ya makato kutoka voda nimepata
tuache upotoshaji. kuna mtu hapo kasema ni kuweka tu muda huohuo nimejaribu kuvuta elfu tatu imechukua kama dk 10 tu pesa imeingiaUkitaka kutoa wanaanza kutaka vitambulisho kama leseni ya gari na Cheti cha kuzaliwa na bado hata ukiwapa longolongo kibao mpaka unaona bora uwaachie