Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huo mtandao unahusiana na KUBET?
 
Boss umeulizwa hapo juu, hii mambo inahusika na betting na the likes au niaje!!!
 
England. Premier League
Manchester City - Watford
How The Goal Will Be Scored Headed Goal - No1.57
EuroCup
Pallacanestro Reggiana - Limoges CSP
1Х2. Including Overtime W Pallacanestro Reggiana1.46
USA. NBA
Los Angeles Clippers - Memphis Grizzlies
1x2 . Including Overtime W Los Angeles Clippers1.55
 
tuache upotoshaji. kuna mtu hapo kasema ni kuweka tu muda huohuo nimejaribu kuvuta elfu tatu imechukua kama dk 10 tu pesa imeingia
ushahidi huu hapa
View attachment 666419 View attachment 666418 View attachment 666417 View attachment 666419
1xbet haija registered tanzania siku hawatakupa hela yako na hakutokua wa kukutetea na 1xbet ina rate ya 2/5 watu wanashauriwa kubet kwenye kampuni zinazoanzia na rate ya 4/5 mwisho 1xbet ina odds kubwa sana wasikudanganye na odds zao
 
Uncle tunaheshimu Hustles zako, na ww heshimu zetu. Hili n jukwaa la Betting sio Billboard ya Matangazo.
 
1xbet haija registered tanzania siku hawatakupa hela yako na hakutokua wa kukutetea na 1xbet ina rate ya 2/5 watu wanashauriwa kubet kwenye kampuni zinazoanzia na rate ya 4/5 mwisho 1xbet ina odds kubwa sana wasikudanganye na odds zao
asante kwa tahadhari
 
Kuna mechi inacheza now nimeweka
Club Friendlies
Singida United - Zimamoto
Total Total Under 2.5 kuna point kama 1.85
maombi yenu hapa
 
1xbet haija registered tanzania siku hawatakupa hela yako na hakutokua wa kukutetea na 1xbet ina rate ya 2/5 watu wanashauriwa kubet kwenye kampuni zinazoanzia na rate ya 4/5 mwisho 1xbet ina odds kubwa sana wasikudanganye na odds zao
Ahsante kwa ushauri mimi ndo nimejiunga leo nisha tupia buku jero yangu napia nishaneti ngoja tuone kama kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…