Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

West Ham Utd - West Bromwich Albion
1/X
1.26

Manchester City - Watford FC
Over 2.5 goals
1.35

Swansea City - Tottenham Hotspur
Over 2.5 goals
1.86

Bala Town - The New Saints FC
Over 2.5 goals
1.48

SSC Napoli - Atalanta Bergamasca
1 (Team to advance)
1.37

Fulham FC - Ipswich Town
Over 2.5 goals
1.50

Wolverhampton Wanderers - Brentford FC
Over 2.5 goals
1.51

Southampton FC - Crystal Palace
Crystal Palace
3.82

Haya wazee wa Kokoro Odds 52 hizi okota zako ama weka lote
 
single bett ukiwa na mtaji mkubwa hafu zile za in play ni mwendo wa kuvuna mahela tu hasa huku kwenye premierbet
kati ya mikeka 10 ya leo, 6 WON
 
Hiyo Turbo option inapatikana kwenye kampuni gani na ina maana gani zaidi?


Hiyo inapatikana Meridianbet & Mkekabet (huko wanaiita Cash Out) ... ni km una mkeka wa timu 6 halafu 3 au 4 zimeshachezwa na umeshinda basi unaweza kughairi kusubiri zilizobaki ukachukua chako. Hesabu itafanyika kwa zile ambazo zimeshachezwa na umeshinda.
 
Naombeni elimu ya handcap kujua kujua kwamba inakwaje ili uwe umela muhindi huwa inanichanganya sana kufahamu
 
INPLAY

SOUTHAMPTON GG NNOV 1,5

TOTTENHAM OV 1,5/2,5

[HASHTAG]#STAKEWIFE[/HASHTAG]
 
INPLAY
MANCITY OV 2,5/3,5
[HASHTAG]#STAKEHOUSE[/HASHTAG]

SOUTHAMPTON FT DRW

WESTHAM GG N OV1,5


Ft UNDER 4,5 [HASHTAG]#STAKEHOUSE[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…