Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

PONGEZI
Hongereni sana nmlonifata ktk huu mkeka wa supu.

BAADA YA HAYA MATOKEO, TAYAR

****BET WOOOOOOOOOON*****

Hakika Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180103-142043.png
 
  1. [1/3, 14:20] G.E.M: Niwape kalunch tu
    [1/3, 14:22] G.E.M: MAGOLI MENGI
    LAS PALMAS 2HALF
    CADIZ 1HALF
    BENFICA 2HALF
    MARTIMO 2HALF
    BOAVISTA 1HALF
    CHAGUA 4 JISHINDILIE
 
MKEKA WA SUPU No. 2

Odds: 2.14

Stake: 24,000 Tsh
Marejesho: 51,360 Tsh

Nb:
huyo wa kwanza juu, wanaume (A)
Huyo wa pili chini, wanawake (W)


Mapambano yanaendelea
View attachment 667121
PONGEZI
Hongereni sana nmlonifata ktk huu mkeka wa supu.

BAADA YA HAYA MATOKEO, TAYAR

****BET WOOOOOOOOOON*****

Hakika Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180103-142043.png
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dah,
Nmefurah sn kuskia hvo mkuu.

Hakika,
Haya ndo Mapambano halisi.
TUKO PAMOJA ZAID MKUU
Kuionaaannyota lazimaa update mamajusi wakukuongoza Mungu akutie nguvu vita n kubwaaaa mkuu unarudisha watu vijijini biashara zinakata
 
inaonekana na wamebet sio bure kona was less than 3 in the 1st half.
Damn!!

Zilikuja kufika 9, ila nimefuatilia nikagundua Newcastle United Jets FC ni wabovu mno kwenye kona. Was my mistake niliwapotezea kama elfu 25000 za bure kabisa. Nimejifunza nazidi kujifunza
 
Kuionaaannyota lazimaa update mamajusi wakukuongoza Mungu akutie nguvu vita n kubwaaaa mkuu unarudisha watu vijijini biashara zinakata

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mungu wa pekee nnae mwamini mm, ni mwema sana.

Hakika,
Hakuna mtu kurud kijijini mwaka huu.

KTK HII VITA, KUKATA TAMAA.

NI KOSA LA "UHAINI"

ADHABU YAKE HALISI NADHANI UNAIJUA MPWA.

"Being assassinaated"

Kisha,
wazee majasiri wa kazi wanaendelea na Mapambano.

NO RETREAT, NO SURRENDER
 
Zilikuja kufika 9, ila nimefuatilia nikagundua Newcastle United Jets FC ni wabovu mno kwenye kona. Was my mistake niliwapotezea kama elfu 25000 za bure kabisa. Nimejifunza nazidi kujifunza
Pole sn mkuu
 
Back
Top Bottom