Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uliwapaje hao corner 9 mkuu,.

Westbrom na west ham wote huwa ni wabovu sn kwny corner.

Lile kabrasha nliloandka humu khs corner, ulilisoma juu juu.

AU ULILIPOTEZEA MKUU

Lilinipita Chief ... sometimes posts zinakuwa nyng sn unashindwa kuziona zote. Sio mbaya ukalirusha tena km unaweza kuliaccess mkuu.
 
kwa aliyekua macho mda huu kazi hiyo
View attachment 667042
bet won kwa waliofata

Screenshot-2018-1-3 Live Basketball Scores - NBA, Euroleague, Basketball Results, Livescore.png
 
Kampuni gani hii Mkuu
1xbet .........watu wanawakejeli mnoo ila kwangu hawana tatizo kuwithdraw inachukua dk 1-10 minutes within
Deposits ni sekunde 1[emoji120] [emoji120]

Na hawakati kodi na odds zinachange ukiwa inplay ukicheza kawaida hazibadiliki kama jamaa fulan akidai et odds 7 znadrop mpaka 3???

Simlazimish mtuu ni hiar yakooo
 
hiyo kampuni ina tigo pesa mkuu??
 
1xbet .........watu wanawakejeli mnoo ila kwangu hawana tatizo kuwithdraw inachukua dk 1-10 minutes within
Deposits ni sekunde 1[emoji120] [emoji120]

Na hawakati kodi na odds zinachange ukiwa inplay ukicheza kawaida hazibadiliki kama jamaa fulan akidai et odds 7 znadrop mpaka 3???

Simlazimish mtuu ni hiar yakooo
mwenyewe nimewapenda
 
MKEKA WA SUPU No. 2

Odds: 2.14

Stake: 24,000 Tsh
Marejesho: 51,360 Tsh

Nb:
huyo wa kwanza juu, wanaume (A)
Huyo wa pili chini, wanawake (W)

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180103-085727.png
 
Back
Top Bottom