Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwa aliyekua macho mda huu kazi hiyo
Screenshot-2018-1-3 PrincessBet Tanzania Sports Betting.png
 
Wazee gemu ikiwa abandoned na kama ulikuwa umewapa over 1.5,hapa inakuwaje,mkeka upo kwa binti wa mfalme(princessbet)
 
wakuu basket inalipa ,,,hadi kufikia leo kwa single bet za over na under kwny basket kwa stake za laki 1 zaidi nimeshapata ela ya kodi ya miezi 6 na nimepoteza mikeka 3 tuu kati ya 10 kuanzia tarehe 28 hadi leo
Mkuu, bas tunakuomba uwe una post mapema, mkuu. Kama mkuu deeppond. Ila waleo wa Memphims mm binafs nimeu test na naona unaelekea kutoa.
 
Back
Top Bottom