Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NILISEMA WEKA NA OV 2,5 KABISA KALE SUPU

ANAITWA TNS MZEE WA MANYOTA MATATU

AJAWAHI NIANGUSHA..


[HASHTAG]#woooooooooooon[/HASHTAG]
THE NEW SAINTS ( TNS)

Timu ya pesa hyo,

Sema juzi aliteleza, alituangusha sn kwny mikeka.

Aligongwa 4:2 na kibonde Newton.
 
West Ham/West Brom zimekosekana kona 3 [emoji16] [emoji16]


ea480cdce07cd10ac56c801f881af5fc.jpg
Uliwapaje hao corner 9 mkuu,.

Westbrom na west ham wote huwa ni wabovu sn kwny corner.

Lile kabrasha nliloandka humu khs corner, ulilisoma juu juu.

AU ULILIPOTEZEA MKUU
 
Mkeka wa deepoint niliufata. Gemu ambayo ingechana mkeke imekuwa suspended coz of strong wind.kwa hiyo mkeka bado unapumua
 
Uliwapaje hao corner 9 mkuu,.

Westbrom na west ham wote huwa ni wabovu sn kwny corner.

Lile kabrasha nliloandka humu khs corner, ulilisoma juu juu.

AU ULILIPOTEZEA MKUU

Hata mimi niliwapa hao japo uchambuzi ulikuwa hauwafevi kabisa, matokeo yake amenikosesha kama laki 3 kwenye mikeka miwili
 
West Ham Utd - West Bromwich Albion
1/X
1.26

Manchester City - Watford FC
Over 2.5 goals
1.35

Swansea City - Tottenham Hotspur
Over 2.5 goals
1.86

Bala Town - The New Saints FC
Over 2.5 goals
1.48

SSC Napoli - Atalanta Bergamasca
1 (Team to advance)
1.37

Fulham FC - Ipswich Town
Over 2.5 goals
1.50

Wolverhampton Wanderers - Brentford FC
Over 2.5 goals
1.51

Southampton FC - Crystal Palace
Crystal Palace
3.82

Haya wazee wa Kokoro Odds 52 hizi okota zako ama weka lote

Mkuu naomba hili kokoro lako unalotumaga utuwahishie mapema, hakika hili ningeliwahi muhindi asingepona maana huwa naokotezaga na hakika huwa simkosi.

Hapa nina uhakika game ya Napoli, totenham na Man city ningezipiga chini hlf ningetambaa na hizo Zingine nisingekosa odds 30
 
Back
Top Bottom