Unawz umia ndugu,ME NIMEWEKA HIVI
Australia Victorian Women's Premier League
Sydney (Women) - Newcastle Jets (Women)
Total Total Under 4
kumbe game ilishaanza nimeichelewa hiiUnawz umia ndugu,
Muombe sn mungu
Wanawake huwa wanafungana sana.
Dkk, 28
Sydney anaongoza 2:0
Mkuu hupotezi mda hehehe, jana San Antonio ksninyima hela dah, katoa under
Na mimi nimewapenda sana.mwenyewe nimewapenda
buddy tunatokaje na wakorea leo??Lilinipita Chief ... sometimes posts zinakuwa nyng sn unashindwa kuziona zote. Sio mbaya ukalirusha tena km unaweza kuliaccess mkuu.
Fastaaaa aisee ...
Pole sn mkuu ... mm nlimuomba Clippers Over 199.5 na Hockey wawili ... nashukuru wametoa.
Huyu saiv ni kudeal nae usiku na mchana !
Umeona hizo picha mbili ukiangalia vizuri picha ya kwanza pale juu kuna payment system option afu kma kuna kitufe cha rangi ya kijani ili kuipata tigo bonyeza icho kitufe kutoa hiyo rangi utaona options zimeongezeka na utaipata tigo tanzaniawana airtel na voda
Hapana kwa airtel sijawai jaribu, kwa wale wenzangu na mimi wenye hasira kila wanapoziangalia betslip zao walizolost hawa jamaa unaweza kuzifutaMkuu airtel siitumii hivyo utaratibu wao sifahamu natumia voda.......na kucashout sijafahamu vizuri naona sell odds yan unauza mkeka ukiona mambo yameenda mrama[emoji1] [emoji1]
Kingine mkuu kuna Mr Q na joaquem ngoja waje wao huenda wakafahamu system ya airtel
Jisajiri hata kwa njia ya Facebook nayo ni rahisi pia mkuuNa mimi nimewapenda sana.
Tatizo ni register imeniwia ngumu lakini nitapambana hadi nifanikiwe
Mkuu,Umeona hizo picha mbili ukiangalia vizuri picha ya kwanza pale juu kuna payment system option afu kma kuna kitufe cha rangi ya kijani ili kuipata tigo bonyeza icho kitufe kutoa hiyo rangi utaona options zimeongezeka na utaipata tigo tanzania
kwa waliofata huu tunamsubiri sydney atoa 2+
TUPIA HUMU MKUU KABLA YA KULALA TUWE TUNALALA NAZOwakuu basket inalipa ,,,hadi kufikia leo kwa single bet za over na under kwny basket kwa stake za laki 1 zaidi nimeshapata ela ya kodi ya miezi 6 na nimepoteza mikeka 3 tuu kati ya 10 kuanzia tarehe 28 hadi leo
Haina n Aitel na voda
poa mkuuTUPIA HUMU MKUU KABLA YA KULALA TUWE TUNALALA NAZO