DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Utaratb wao wa kudeposit na withdraw kwa airtelmoney ukoje?1xbet .........watu wanawakejeli mnoo ila kwangu hawana tatizo kuwithdraw inachukua dk 1-10 minutes within
Deposits ni sekunde 1[emoji120] [emoji120]
Na hawakati kodi na odds zinachange ukiwa inplay ukicheza kawaida hazibadiliki kama jamaa fulan akidai et odds 7 znadrop mpaka 3???
Simlazimish mtuu ni hiar yakooo
Kwa kifup tafadhar
Afu, khs cash out
vp wanayo hyo service?