Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

rest of the match timu imeshida 3:0 na bado ina point 2.52 nimeipa sasa hv ina 6:0 hapo vp wakuu
 
mmh kumbe inplay sometime nzuri kuicheza maana nimeweka hela yng yote iliyokua kwenye kibubu
 
Basiasiii korokooroooo tunaendeleaankutema.
Tumeanza na Mungu....sa 11;30/am nilikuwa hapa..
So far

Apoel ov 2,5 [HASHTAG]#woooooooooooon[/HASHTAG]

Sydney ov 2,5 [HASHTAG]#wooooooooooo[/HASHTAG]

Ettifaq OV 2,5 [HASHTAG]#WOOOOOOOOOOON[/HASHTAG]
 

Attachments

  • Screenshot_20180103-193145.png
    24.7 KB · Views: 32
Shetani Toka

1. Porto to win either half
2. Sporting Braga BTTS 1H NO
3. Arsenal over 8.5 kona
4. Juventus over 1.5
5. Las Palma over 8.5 kona
6. Cadiz over 1.5
7. Mithra castors over 128.5 pnts
8. USK Praha under 150.5 pnts
9. Fenerbahce Sk under 146.5 pnts
10. Leicester city 1X
ODDS 13.603
 
Amin amin amin.
 
Big match hyo,
Wametoka skukuu.

Afu wote wamecheza mechi nyng mfururizo.

Siamini Kama,
First half wataweza kufungana goli 3+

Hakuna ambae mwny back line kias hicho cha kuruhusu goli 3+ za fasta fasta first half
Lakini mkeka unasoma second half hizo 3+..
 
Ile pesa ya Jana imesha soma kweny account. Ila tu be honest kile kiporo kilikuwa kimechacha. Coz kabla gemu haija hairishwa tayar fist half magoli mawil yakuwa yamesha patikana pande zote mbili
 
Ile pesa ya Jana imesha soma kweny account. Ila tu be honest kile kiporo kilikuwa kimechacha. Coz kabla gemu haija hairishwa tayar fist half magoli mawil yakuwa yamesha patikana pande zote mbili

walitakiwa kulipa mpk ile halftime lakin kufanya cancelled siyo fair
 
Ile pesa ya Jana imesha soma kweny account. Ila tu be honest kile kiporo kilikuwa kimechacha. Coz kabla gemu haija hairishwa tayar fist half magoli mawil yakuwa yamesha patikana pande zote mbili
Acha MUNGU azidi kuitwa MUNGU.
 
Ile pesa ya Jana imesha soma kweny account. Ila tu be honest kile kiporo kilikuwa kimechacha. Coz kabla gemu haija hairishwa tayar fist half magoli mawil yakuwa yamesha patikana pande zote mbili

Utaratibu ni game nzima inakuwa void
 
Utaratibu ni game nzima inakuwa void
Mkuu wiki iliyopita hiyo kitu litokea tena.

Tulibeti first half, ikawa imetick. But kuingia second half, mechi ikahairishwa.

But cha kushangaza hiyo mechi jamaa wahesabu kama imetick.

This time nirihisi watahesabu tena. Yan ilikuwa imeshachanika.
Lakini MUNGU NI MWEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…