Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,349
- 3,313
1.61 Odds
Mkeka mzur,Wakuu ushauri wenu na baraka![]()
Zamaleck kakosa Penalty
Yan tulikua tunamtoa ktk list tunasubr wengne [emoji2]Mpuuzi sana, biashara yake ingeishia first half
Anaacha hivi hivi
Iko poaWakuu msaada tafadhali nataka niweke mzigo kwa game hizi zinipatie over 8.5 corners.....je nitatoboa?
Arsenal
Juve
Valencia
Ushauri please nijilipue
Leo kaniangusha,Anaacha hivi hivi
Dah acha mkuu kaharibu mipango yote
Basiasiii korokooroooo tunaendeleaankutema.
Tumeanza na Mungu....sa 11;30/am nilikuwa hapa..
So far
Apoel ov 2,5 [HASHTAG]#woooooooooooon[/HASHTAG]
Sydney ov 2,5 [HASHTAG]#wooooooooooo[/HASHTAG]
Ettifaq OV 2,5 [HASHTAG]#WOOOOOOOOOOON[/HASHTAG]
hata mimi single nishacheza sana but kwa odds ndogo kama hizi za 1.30 ukipigwa mana yake umepoteza laki. na si kuwa single kwamba uko sef 100%Hivi anayeweka laki 1 kwahyo mikeka ya Odds 1.45 single bet na kupata faida ya elfu 45 kila siku na uyu anaechana kwa team moja kumuaharibia kila siku yupi anaingiza pesa?Mkuu hivi ustuki kila siku watu wanaishia mitaji wanaenda kutafuta. Ukijaza team chance ya kukosa ni kubwa mnoo, am speaking kutokana na experiance, hapa ndio utaelewa kwanini Kanji anaingiza sana siku ambazo zinakua na game nyingi. Hii ni sababu watu upagawa kuona team nyingi na kutaka kucheza kila team mwsho wa siku wachawi utokea lakini kama mtu akitulia ktk game zote akatafuta mechi moja tu ya single ya uhakika halali njaa
hiyo timu huwa naielewa sana yani ikipoteza basi gg hukositroublemaker chama letu atalanta unaliona haniangushagi.
yani ogopa sana timu ikicheza na atalantaNapoli 1x kashindwa duh nyumban
hiyo timu huwa naielewa sana yani ikipoteza basi gg hukosi