bado kwanza nagusa gusa tu. bado najipangaUmerudi mkuu?
Hivi vizenji tunavikalisha babake!!!.....,halafu vinaleta domodomo.....,Taifa Jang’ombe (Zan) 1 - 3 Singida United (Tan)
Tuonyeshe huo mkekaPrincesses bet walichonifanyia leo mungu anawaona,nimesubmit coupon kwa mara ya kwanza ikagoma kwasababu ya mtandao nimesubmit tena zimeenda zote mbili na stake niliweka kubwa hapa nimeona nijidunge na magic moments huku nikusubiria matokeo....hakika ni bora kusubiri majibu ya vvu kuliko kusubiri matokeo ya mpira ambayo umeweka stake mlima
Dah huniamini mkuuTuonyeshe huo mkeka
Anashinda ama drw mpwaWaarabu hawaelewekagi kabisa, yaani Zamaleck imekosa penalty kipindi cha kwanza sasa Geish kashamlamba moja
Nakuamini ila Thomaso muhimuDah huniamini mkuu
Mechi nane kati ya kumi za juve zilizopita hakukuwa na BTTS
Karibu tena mkuu,mapinduzi cup naona miover tu huko vipi mnawawekea dhamana
Hyo tip nmeielewa, hebu ngoja niitaftie pairMechi nane kati ya kumi za juve zilizopita hakukuwa na BTTS
Mkuu huu ujumbe hapa si mahala pake.AYA YA SIKU
Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia Mungu tena.
Maombolezo 3:40