Ukistaajabu ya Appolon utayaona ya maharabu Zamaleck.
AYA YA SIKU
Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia Mungu tena.
Maombolezo 3:40
hahahaha mkuu sicheki kwa sababu ulizozisema ila kwa lugha uliyotumia. Pole sana mkuu hapo ndo unatakiwa kuongeza maombiPrincesses bet walichonifanyia leo mungu anawaona,nimesubmit coupon kwa mara ya kwanza ikagoma kwasababu ya mtandao nimesubmit tena zimeenda zote mbili na stake niliweka kubwa hapa nimeona nijidunge na magic moments huku nikusubiria matokeo....hakika ni bora kusubiri majibu ya vvu kuliko kusubiri matokeo ya mpira ambayo umeweka stake mlima
Mkuu hii mechi ina chezwa mda huu naona odds zake si haba 3.40AYA YA SIKU
Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia Mungu tena.
Maombolezo 3:40
Acha tu, na alikuwepo kwenye mkeka zaidi ya mmoja japo kwa options tofauti tofautiHahaha ... king ny hiyo ligi ni Al Ahly tu. Zamalek amebaki jina tu.
[emoji23]Mkuu hii mechi ina chezwa mda huu naona odds zake si haba 3.40
Nimefanikiwa mkuu asante sanaNenda kwenye app hiyo ya 1xbet alafu bonyeza menu utaona top up a/c tafta tigo tanzania bonyeza pale wa display namba yako ya tigo pia watakwa mbia weka kiasi ukimalza kuweka moja moja watakumia txt ya beyonic kama hii
"Account depositPiga *150*01# Chagua namba 4: Malipo Chagua namba 3: Ingiza namba ya kampuni Ingiza namba: 400700 Ingiza namba ya kumbukumbu: 0081bet Ingiza kiasi cha malipo: 1500.0000 Ingiza namba ya siri" bhasi fata hayo maelekezo
Poa karibuNimefanikiwa mkuu asante sana
Inategemea na approach unayotumia...laki ni ndogo kuliwa anayecheza multiple hii laki ndani ya siku mbili analiwa tena anaweza kaa hata week tatu hajala. All in all believe in your approachhata mimi single nishacheza sana but kwa odds ndogo kama hizi za 1.30 ukipigwa mana yake umepoteza laki. na si kuwa single kwamba uko sef 100%
single nzuri ila angalau upate odds 1.8+
Acha kumdanganya mwenzio