Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Mechi ya arsenal dkk ya 12 kona 3
Wala sio principle kwamba mwenye odd kubwa ndio hashindi. Kumbuka game ya GIRONA vs REAL MADRIDArsenal naona anazidi kuongezewa odd naona kabisa hii mechi Chelsea anashinda kiulaini afu Chelsea Leo atacheza counter attack nyingi maana mfumo wa Leo nyokoo
Mkuu hii mechi ina chezwa mda huu naona odds zake si haba 3.40
Leo humu ndani hakueleweki.BIBILIA INASEMA USIMJIBU MPUMBAVU USIJE FANANA NAE NTARUDIBADAE
3-0/2-1Juve 20' 1-0
HahhahhaAsante mkuu ... ila umemwambia na yule mwingne AKATUBU?
[emoji124] [emoji124]
Kona ya ngap mkuu mpaka sasaJuve nimewapa corner nimeanza mwili joto