BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,011
Heshimaaa iendeleee mpwaaa 2018 shetani wakuliwaaa asirudi tena
Heshimaaa iendeleee mpwaaa 2018 shetani wakuliwaaa asirudi tena
Kona ngapi kwa Valencia mpk sahv mkuu
FT corner 8.Kona ngapi kwa Valencia mpk sahv mkuu
Kabisa MpwaaHeshimaaa iendeleee mpwaaa 2018 shetani wakuliwaaa asirudi tena
pole sana chief ndo biashara hiyo leo mvua imenyesha wateja wamegoma, mimi kuendelea na hii biashara ni kwa sababu ninayaishi maneno yako la sivyo huku msingeniona ningeenda jukwaa la MMU...!!!HALI sio shwari mkuu,
Muhindi leo anatunyanyasa sn.
Furaha kwang hayo matokeo83'
Rio Ave 3-2
home red card
INPLAY TEST83'
Rio Ave 3-2
home red card
Mkubwa mbona ulitutenga leo tena kanji kanidiscipline
FTFuraha kwang hayo matokeo
Yakibak hvo hvo au au
Hao pascos waongeze gol
Maana wakiongezwa n kilio kwang
Uliwapaje mkuuDah,
Porto Kala red card
Dkk 83,
Tuombe sn MUNGU wakuu
Pole sana mkuu***** dhaaa pascos wanaruhusu
gol dk 90 muhind hana adabu kabsa yan
Dhaaaa inauma sanaPole sana mkuu