Porto- win either halfUliwapaje mkuu
Ila mkeka wa dharura naona bado unapumua,pole sana chief ndo biashara hiyo leo mvua imenyesha wateja wamegoma, mimi kuendelea na hii biashara ni kwa sababu ninayaishi maneno yako la sivyo huku msingeniona ningeenda jukwaa la MMU...!!!
full time naona tayariIla mkeka wa dharura naona bado unapumua,
Namsubir Porto peke ake
MKEKA WA DHARURA
Arsenal,- corner 10+
Juve- HT not GG
Valencia- ×2
Porto- win either half
Sorry, phone memory imejaa.
Nmeshndwa ku upload mkeka
Mvua ilinyesha wakakati umeme aisee, umerudi saa nne game zimeshaanzaMkubwa mbona ulitutenga leo tena kanji kanidiscipline
Duh,MKEKA WA DHARURA
Arsenal,- corner 10+
Juve- HT not GG
Valencia- ×2
Porto- win either half
Sorry, phone memory imejaa.
Nmeshndwa ku upload mkeka
Hongera sana chief, Mungu azidi kutupa Neema zake...!!!
Safi sana, hiyo ni habari njema DeepPond...!!!Duh,
Ubarikiwe sana Porto
ndo nlkua nakusubir ww peke ako.
MUNGU NI MKUBWA SANA.
HATIMAE MKEKA WA DHARURA UMENIKOMBOA KWA MARA NYNGN TENA.
View attachment 668024
kwa hiyo hizo unazifanayeje mkuu? unacheza moja moja then unaziunganisha unachezea kwa pamoja?
Mvua inaathiri wafanyabiashara wengi si wamachinga na mama ntilie tu 😀😀😀Mvua ilinyesha wakakati umeme aisee, umerudi saa nne game zimeshaanza
hahahaha hadi wafanyabiashara ya bettingMvua inaathiri wafanyabiashara wengi si wamachinga na mama ntilie tu 😀😀😀
Mkuu Mimi Chelsea wameniuaDuh,
Ubarikiwe sana Porto
ndo nlkua nakusubir ww peke ako.
MUNGU NI MKUBWA SANA.
HATIMAE MKEKA WA DHARURA UMENIKOMBOA KWA MARA NYNGN TENA.
View attachment 668024
Mkuu kesho tutakusubiri twende pamoja tumelala njaa leoUsiku Mwema Wakuu
Mvua shamba huko, mjini inaingilia na kuharibu maslahi ya watuhahahaha hadi wafanyabiashara ya betting