Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu hawajaamini Jana hehehe jong psv na man u walichokifanya tulizoea arsenal kupigwa na man u
 
Leo madrid anashinda 3 moja goli za ronalo zote hizo....nimemaliza
 
mkuuu unatumia simu gan mbna wengne meridian haifungukiaseeeh

meridian unatakiwa uandike kabisa website yao kwenye browser yako sehem ya url.
website yao ni hii meridianbet.co.tz halafu nakushauri tumia ucbrowser au cm browser.
isipofunguka hapo tumia internet ya voda kama unatumia internet ya tigo
 
Me natumia app yao inafanya kaz vzr ndioman huwa nashundwa kuelewa tatzo n nn mana wadau weng wana lalamika kuhusu app haifunguk lkn me ndio nnayo tumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…