mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Watu hawajaamini Jana hehehe jong psv na man u walichokifanya tulizoea arsenal kupigwa na man u
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arsenal basi tu! Nna raha hadi kwenye matoro! Lol!
mkuuu unatumia simu gan mbna wengne meridian haifungukiaseeeh
Sitaki stress Leo nimempa man u na juve basi nimetia buku tano tu
Watu hawajaamini Jana hehehe jong psv na man u walichokifanya tulizoea arsenal kupigwa na man u
ha ha ha ha ha ha ametishaumenichekesha sana,hilo neno matoro kwa sisi wakurya ni matako.kama ww ni Me afu useme hvyo watu wanaweza wakacheka balaa
mkuuu unatumia simu gan mbna wengne meridian haifungukiaseeeh
meridian unatakiwa uandike kabisa website yao kwenye browser yako sehem ya url.
website yao ni hii meridianbet.co.tz halafu nakushauri tumia ucbrowser au cm browser.
isipofunguka hapo tumia internet ya voda kama unatumia internet ya tigo
Me natumia IPhone na inafunguka vzr tu haisumbui tena sshv naona km iko fasta kulko cku za nyuma.
View attachment 233383
Huu vp wadau??
Mi kwa simu imezinguaa aisee imebidi niconect wireless kwenye pc
Sijawahi kutumia meridian ndo nimejiunga saiz lakini nashindwa kuelewa namna ya kulipa ili nibet...natumia tigo
Jamani anayejua atusaidie maelezo ya kubet online na Meridian
Kwanza unatakiwa kuwa na account ya meridian
Kufungua account ingia
www.meridian.co.tz
Kama unayo account tayari sema ili tuanze kuelekezana vizuri