fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,850
- 2,979
mkuu anae fix ni kampuni na timu husika, yani kuna ligi kama za Sweden mechi inapangwa kabisa leo ni draw kwa hali yoyote ile.. sasa mlipaji ni kampuni ya betting kuzilipa timu zile... nyie wabetiji mtaweka home win /away ..wapo watakao weka draw ila mwisho wa siku kampuni itavuna mpunga wa maana coz wengi wanaingia chaka ( kumbuka game nyingi wanazofix timu mojawapo inakua nafasi ya juu nyingine ipo chini)Hivi wanaofix game huwa wanatumia mbinu gani?
Na mimi leo nataka nifix game moja.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha haha ha hahahahahahhahahhahhahahhah
kaondoka na ngapi mkuuWakuu naelekea kufilisika nimebaki na mtaji wa 10k tu jana mhindi kanilima vbaya.. Msaada wa odd nisogee ata mpaka 30 mpaka jumamoc niende mdomdo.. Cc Teja Junior, @DeeoPond, koncho77, @Billywill, Mr. Wise etal.
BET WON mkuu shukranibasketball hiyo wakuu
Dell Aspac Jakarta vs Bima Perkasa Jogja
pick: Dell Aspac jakarta win
Chung sana wafuatao..Italy, Turkey,Russia hatari sana kiongozi.mkuu anae fix ni kampuni na timu husika, yani kuna ligi kama za Sweden mechi inapangwa kabisa leo ni draw kwa hali yoyote ile.. sasa mlipaji ni kampuni ya betting kuzilipa timu zile... nyie wabetiji mtaweka home win /away ..wapo watakao weka draw ila mwisho wa siku kampuni itavuna mpunga wa maana coz wengi wanaingia chaka ( kumbuka game nyingi wanazofix timu mojawapo inakua nafasi ya juu nyingine ipo chini)
NOTE: Ligi wanazofix sana ni Brazil serie1, Sweden ,Norway, Scotland na nyingine ila England sina uhakika labda championship na national league.
Mkuu iyo game ya kwanza nayo ni south koreaNgoja tuone km mchana utakuwa mzr ili tupate ya kuwekeza usiku.
Mkuu iyo game ya kwanza nayo ni south korea
Hawa watu hovyo kwelimkuu anae fix ni kampuni na timu husika, yani kuna ligi kama za Sweden mechi inapangwa kabisa leo ni draw kwa hali yoyote ile.. sasa mlipaji ni kampuni ya betting kuzilipa timu zile... nyie wabetiji mtaweka home win /away ..wapo watakao weka draw ila mwisho wa siku kampuni itavuna mpunga wa maana coz wengi wanaingia chaka ( kumbuka game nyingi wanazofix timu mojawapo inakua nafasi ya juu nyingine ipo chini)
NOTE: Ligi wanazofix sana ni Brazil serie1, Sweden ,Norway, Scotland na nyingine ila England sina uhakika labda championship na national league.
Jana mikeka minne 80k.kaondoka na ngapi mkuu
aisee kweli haikuwa siku nzuriJana mikeka minne 80k.
Niliwatia over 144.5 lkn hawana dalili hata ya over 120.5
Quarter ya 3 magoli yalikuwa 18/2, hii quarter ya 4 sidhani kama kuna hata 20 watafikisha
Mkuu naomba link za kuchambua hizi game za basketballPole mkuu! Hawa is wanarekodi nzuri ya Under 140.5
mkuu buddy hebu ona odds hizi, zinaniogopesha.
poa poa mkuuBET WON mkuu shukrani
Mkuu naomba link za kuchambua hizi game za basketball