NakufuataAhsante mkuu. Tuko pamoja, usinisahau kwenye kunitag tu. Nyota yako iko njema sana.
Mimi Basketball sijui chochote kabisa..!
Hamna odd za bure bettinghee totenham mhindi kampa odd 2.67 na west ham kapewa moja!!!odd 2.za bure wakuu mziwahi
Nimecheza corner over 11.5hapo bora kucheza corner
Mkuu kwenye hiyo mechi ya barca na CKA , iyo point ni over aka underTunaendelea baada ya kuchukua faida ...
Mkuu kwenye hiyo mechi ya barca na CKA , iyo point ni over aka under
Pamoja mkuu+P ni over mkuu
Pamoja mkuu
Leo Westham anaweza hasipate goli ibetie over 8.5 cornes husifate hyo 1.9 oddsView attachment 668444 Wakuu hapo kuna matumaini?? B4 cja press nuclear button.
Matumaini ni makubwa mno, ila weka zote over 1.5View attachment 668444 Wakuu hapo kuna matumaini?? B4 cja press nuclear button.