Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mpo?

Aisee samahan wadau.

Leo sjasuka mkeka wowote.

Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.

Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.
Tupo poa Kiongoz, pole Kwa kuuguza,mungu atamjaalia wahafuu
 
Wakuu mpo?

Aisee samahan wadau.

Leo sjasuka mkeka wowote.

Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.

Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.
Pole sana mkuu Mungu mkuu mwanao atapona kwa uweza wake.
 
Wakuu mpo?

Aisee samahan wadau.

Leo sjasuka mkeka wowote.

Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.

Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.


Pole sn Chief ... sisi wazazi tunajua hizi changamoto.
Speed recovery for your baby.
[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…