Huu utakua utani was karneCelta anampiga Barca sio chini ya goli 3
Shukran mkuuPole sana mkuu
Nshapoa,Pole sana mpambanaji.
Amen,Pole sana mkuu,
Tunaomba Mwenyezi Mungu asaidie katika kufanya uwepesi wa afya ya kijana wetu
Kwann?
Shukran mkuupole sana mkuu
Amen,Pole sana mkuu DeepPond,
Kwa hakika M/mungu akufanyie wepesi.
wale wa barca bts/gg weka tick
Wakuu mpo?
Aisee samahan wadau.
Leo sjasuka mkeka wowote.
Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.
Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.
Amen,
Naona mnaendeleza mapambano.
Mimi nmecheza tu in play game ya barca.
Nataka jumla ya corner 9 full time
Odds- 1.68
Pia nmebet corner 1 tu kutoka kwa barca ndani ya first half, odd-1.43
AmenPole sana Bro, wishing the baby a quick recovery.
in play
barca na celtavigo
Corners 1st Half - Under/Over (4.5)- Under
MessiTuliompa Barca ushindi ni bora tuanze kusuka mikeka mipya maana naona huu tayari umeishachanika.
View attachment 668596
Watu wanaobet ni wengi wengine wanafanya siri....halafu haohao ndio utakuta kwenye uzi fulani wanatuponda ila baada ya muda utamuona humu nae ni member tena aliyetukuka...Kumbe wa ww huwa unabet? ... hahaha hii dunia bana. Jana ulisema hili group limejaa Jobless lkn nashangaa kukuona humu kila siku ...nafikiri tunakuinspire tunapopiga mpunga ndio maana unatufuatilia.
Mkuu naomba screen shot ya stats za game ya Leganes mpk sahv half timeTuliompa Barca ushindi ni bora tuanze kusuka mikeka mipya maana naona huu tayari umeishachanika.
View attachment 668596
Mkuu naomba screen shot ya stats za game ya Leganes mpk sahv half time