Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante mkuu niliokota kama odds 12 nimepata mtaji kama buku 6 ubarikiwe
 
Niliokota odds 12,Asante.. Ubarikiwe
 
Aksante sana mkuu loss ya Stake nimeshaiokoa maana niliweka fasta first quarter over 56.5 ilikuwa na odds ya 1.94 imerudisha Stake yangu japo bado roho inaniuma kuikosa faida ya waziwazi

Usisononeke sana mkuu! Tushukuru kwa yote.
 
Hii naisubiria kwenye ule mkeka wa timu mbili niliweka over 209.5.

Hii game inavikapu vya kutosha, itafikia zaidi ya 236 ninavyoiona

Mimi kwenye ule mkeka wa Buddy niliamuwa hawa kuwapa Over 211.5 maana niliona inatoa. Ilikuwa na Odds 1.73.! Ile ya Houston Rockets Vs GSW niliwapa Over 225.5 ilikuwa na Odds 1.73 pia.

Nasubiria hii game ya hawa LA Clippers na Oklahoma City Thunder.

 
hii kweli mkuu saiz naona vipigo vimepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…