Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Wachina na Wafilipino pia wako poa sana kwenye vikapu
ahahahah kama mimi tu NBA rahaKwangu mimi kama NBA ingekuwa inapigwa mchana, I dont think kama ningekuwa nabashiri football
Na mm kunamkeka ulichanika hvyohvyo Espanyol na Levante nkajichanganya nikaweka under 1.5 goals.Mkuu aksante nimeshaingiza hela ya mapema leo.
Nilikufuata, japo kuna mkeka nilikosea ambapo malengo yangu ilikuwa nimpe GSW over 114.5 kumbe nikafanya wrong choice kwa kumpa Home team. Nachek matokeo nakuta GSW kapata vikapu 224 nashangilia narudi kwenye mkeka nashangaa umechanika naangalia vizuri naona nilikosea nahisi ilichangiwa na usingizi. Hakika imenifanya nikose laki moja na ishirini ya mapemaaa.
mkuu hata mimi hua nafarijika sana nkitoa tips alaf watu washinde, sasa hamna kitu najiskia vibaya kama kutoa tips alafu zisitoe naona kama mimi ndo nimekosesha watu hela ndo maana nikiona haina uhakika huku hua sileti kabisaHongera sn Chief pamoja na wengine waliofuata huu mkeka na kula. Hakuna kitu kinafariji km kuweka tip/s hapa halafu tukala wote kwa pamoja. Inafariji sn, na ikitokea umekosa muda mwingine unaanza kujisikia guilty kwamba umesababisha na wengine wamekosa.
All in all tunafanya uchambuzi then tunajaribu bahati ...kazi inabaki ya wachezaji uwanjani.
Mimi nilistuka saa 9 na dk 37 na baada ya dk 6 (0343hrs) nikatupia tena huu na kuwaongeza wa Hockey wawili ... Nashukuru umetoka nao.
poa poa mkuu tutachambua badae kidogoMchana naona kuna wachina tunasubiri mkeka mwingine
mkuu hata mimi hua nafarijika sana nkitoa tips alaf watu washinde, sasa hamna kitu najiskia vibaya kama kutoa tips alafu zisitoe naona kama mimi ndo nimekosesha watu hela ndo maana nikiona haina uhakika huku hua sileti kabisa
Hongera mkuu, aksante sanaHongera sn Chief pamoja na wengine waliofuata huu mkeka na kula. Hakuna kitu kinafariji km kuweka tip/s hapa halafu tukala wote kwa pamoja. Inafariji sn, na ikitokea umekosa muda mwingine unaanza kujisikia guilty kwamba umesababisha na wengine wamekosa.
All in all tunafanya uchambuzi then tunajaribu bahati ...kazi inabaki ya wachezaji uwanjani.
Mimi nilistuka saa 9 na dk 37 na baada ya dk 6 (0343hrs) nikatupia tena huu na kuwaongeza wa Hockey wawili ... Nashukuru umetoka nao.
Tumsubiri Buddy na Will Billy hapa in corraboration with koncho77.Kuna wachina mchana, leteni implay zake saa nane Leo
Hongera mkuu, aksante sana
Mimi sijalala kabisa.
Nimetupia single bet zaidi ya 10 ya hizo game. Nimekosa kihalali moja tu na nyingine ni Ile niliyojichanganya bahati mbaya
Mapambano yaendelee.
Mpwa nakutegemea sana tips zako.Baada ya Barcelona kuchana 2,5 over nipo p*mbu tu hapa dah!
Mkuu huwa najikaza kweli kusubiri tips ila najikuta tu nashtuka saa 11... Nikijitahid sana basi saa 7 nakuwa macho.mkuu hata mimi hua nafarijika sana nkitoa tips alaf watu washinde, sasa hamna kitu najiskia vibaya kama kutoa tips alafu zisitoe naona kama mimi ndo nimekosesha watu hela ndo maana nikiona haina uhakika huku hua sileti kabisa
1. Australia + Indonesia - Hizi zinapigwa saa tano!
BET SLIP: 1 game Australia plus 2 games Indonesia.
2. South Korea - Hizi zinapigwa saa saba mchana
BET SLIP: 2 games
3. Wachina - Hizi zinapigwa saa nane na dakika 35 mchana
BET SLIP: 3 games
Wacha nianze kuchambua hizi za saa tano.
Safi mkuu ... kulikuwa na hizi odds za kibabe pia zilitoa
Mkuu hongera sana hebu tupe za Leo wengine hatukuamk usik tumekosa hela ya supuSafi mkuu ... kulikuwa na hizi odds za kibabe pia zilitoa