dah..... kwan wamecheza leo ao?
[TABLE="class: tab, align: center"]
[TR]
[TD="class: nocol, width: 5%"]FT[/TD]
[TD="width: 38%, align: right"] Sligo Rovers[/TD]
[TD="width: 12%"]8:0[/TD]
[TD="width: 38%, align: left"]Mayo League[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Bora tu Madrid wangetolewa kbsa manina.kw sasa wamekuwa mdebwedo kama ac milan,roma,na man u! amenikosesha kilo na nusu!
Hivi meridian mbona sielewi kuanzia jana jioni naona kwangu inazingua. Au kuna tatizo
Hivi meridian mbona sielewi kuanzia jana jioni naona kwangu inazingua. Au kuna tatizo
mdau ungempiga muhindi angekufungia kubet kwa muda aiseee
sijaelewa option zake msaada
yani hiyo inamaanisha timu moja inaongoza kipindi cha kwanza ila mwisho wa siku inaishia kufungwa
Hii website ya hawa meridian naona inasumbua sana kila saa inatoa message ' SEVER ERROR" sijui ni mimi tuu au kuna tatizo ninashindwa kuelewa naombeni msaada