Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuanzia this week madrid mnaweza kumuamini nusu. Modric na ramos wanarudi. Ila bale kutokuwa fit, na pengo la james bado ni tatizo.
 
Du Madrid nampa mechi moja ya ziada akiendelea na ujinga na ujinga huu namtupa kundi la timu zifuatazo. Ac Milan. Man u na bvb[emoji35] [emoji35]
 
Mh manina betting is too hatari aseee dah naona wazee wa mikeka tumekalia misumari, dah Madrid wa kutufanyia hivi kweli? Ok nayo leo cku pia mtoto wa nzi,yusuph, immo tupeni ya leo turudishe hela zetu. Asubuhi njema.
 
Bora tu Madrid wangetolewa kbsa manina.kw sasa wamekuwa mdebwedo kama ac milan,roma,na man u! amenikosesha kilo na nusu!
 
Hivi meridian mbona sielewi kuanzia jana jioni naona kwangu inazingua. Au kuna tatizo

hata kwangu jioni ilikua inazingua nkashindwa place bet....nlikua nimumuua madrid kwa buku...ilikua inakuja shs 15 ..kueka ikakataa dag
 
Jamani betting ngumu sana jana Madrid alichofanya Mungu ndio anajua leo je nayo si ni siku basi mwageni mikeka ya leo tupunguze machungu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1426065984.653456.jpg
Wakuu mambo naona yamekaa sw.nmejarbu hyo imekubal.
 
Hii website ya hawa meridian naona inasumbua sana kila saa inatoa message ' SEVER ERROR" sijui ni mimi tuu au kuna tatizo ninashindwa kuelewa naombeni msaada

mkuu hilo tatizo hata me nnimellipata asubuhi hii ...nilikua natumia mozilla nikaamua niinstall opera browser inafanya kazi
vizuri kabisa......jaribu opera mkuu
 
Back
Top Bottom