Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nisaidieni naweza wasiliana vipi na premier bet?
 
Aston Villa 1 - 3 Peterborough

Peterborough odd 5+


Coventry 2 - 1 Stoke

Coventry odd 5+

huu mchezo mda mwingine wa kishenzi sana
 
Mzigo wetu bado unapumua tuendelee kuagiza bia
 
Pole sn mkuu.....

Nliiona hii tip yako humu, fasta fasta nikaichangamkia fursa.

Sema, niliichukua kwa tahadhari zaidi.
Safi sana mkuu
mimi niliangalia first half Napoli alikuwa amebanwa sana nikajua second half atashinda ushindi wa kawaida kumbe nilipotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…