Haina shaka mkuu....ulitia single bet nn?
Hapo juu si umeona 1-2Jaman natak nimpe hand cap roma ya goli moja mm niko antranta odd 3 jaman hii imekaje
Yaaan naandika kuomba ushauli jamaa wanafungaHapo juu si umeona 1-2
Maana ake ukimpa handicap ya moja itakuwa 2-2 kama upo Atlanta hyo handicap si umpe Atlanta??
Mpe Atalanta maana anaongoza mbili sidhani kama Wataweza kuchomoa 3-1Roma chap la pili bas
Moulins-Yzeure 2 - 5 MonacoRoma chap la pili bas
chelsea hata siwaelewi siku hiziChelsea dah asanteni sana wapuuzi nyie
Sahau hyo kitu,Mechi ya juve BTS itatoa maana ina odds mlima 2+
Wapuuz kweli.chelsea hata siwaelewi siku hizi
BET WONAS Roma - Atalanta Bergamasca
Over 1.5 goals
1.23
Academica Coimbra - Varzim SC Academica De Coimbra
1.68
odds 2.07
Hiyo game ya Braga ni big matchJuve
Sevilla
Braga
Wins....odds 3+ hizi hapa kama una roho ngumu,upande wangu moyo bado haujafunguka kuplace bet
Hongera sn mkuu.BET WON
Acha tu Mkuu, wameharibu weekend yangu yote. Nacheki series tu hapa.Betting ni biashara kichaa kuwahi kutokea! Yaaani kweli Roma ndio wamekufa nyumbani!!!!
ndo mana kuna option zaidi ya 200Betting ni biashara kichaa kuwahi kutokea! Yaaani kweli Roma ndio wamekufa nyumbani!!!!