Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

usicheke mkuu ukisikia nimekunywa ujue ni ile pombe kali sinywagi bia mie
hazinileweshi zile
SAMAHANI KWA NDUGU ZANGU WASIOTUMIA KAMA WAISLAMU NA WAKRISTO KAMA NITAKUWA NIMEWAUDHI
Hapana mkuu cjacheka kwa mazur
Maana hata mm n kama Hali unayoipitia
Tunaipitia wote me hata nmeshindwa kutandika mkeka hiki kichwa hakisomi
Moja wala mbili ama kweli Ukubwa jalala

Nmekunywa konyag zang mbili hapa
Lkn hata cjui zmeingilia wap
 
Mambo ya kawaida weekend mkuu.. hata hamna noma [emoji4]
Sawa wakuu, huwa nawashangaa Buddy na DeepPond eti wanakunywa bia huwa nawatafakari siwamalizi mara nyingine wakuu muwe serious mnakunywa bia hivi huwa mnalewa wakuu?
 
Jamani Habari za biashara jamani, ILA HUYU MUHINDI ATATUUA
world_poverty__omar_zevallos.jpeg
 
Hapana mkuu cjacheka kwa mazur
Maana hata mm n kama Hali unayoipitia
Tunaipitia wote me hata nmeshindwa kutandika mkeka hiki kichwa hakisomi
Moja wala mbili ama kweli Ukubwa jalala

Nmekunywa konyag zang mbili hapa
Lkn hata cjui zmeingilia wap

Hahahahahaha ...
 
Back
Top Bottom