DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Namuunga mkono Nyegere. Goli zote znarudi, Leo tunakula hela.
Dah kazingua kabaki yeye tu watu tuvute mpunga anabigwa goli za ajabu ajabuSevilla officially blacklisted until further notice.
Dah kazingua kabaki yeye tu watu tuvute mpunga anabigwa goli za ajabu ajabu
Ha ha ha ha kapigwa la tano kabisaHovyo kabisa huyu ... naona na Lyon nae kapigwa goli 2 za haraka haraka in less than 5 mins ... daaaah hizi timu shida sn.
Ile game ni derby ujueSevilla kafa 5 uuuuuuuuuuuwi
Aisee leo unashika kichwa unapiga mgongoni, ukishika mgongo unachezea za uso dahIle game ni derby ujue
Pole sn mkuu,Eibar jeshi sana ila ndio wananyima kona 9 ***** zao, bora Palmas kafungwa anaweza leta kona 3 zilizobaki
Ha ha ha ha kapigwa la tano kabisa
Pole an mkuuUsione natype JF kichwa nimeshakivuruga sana nisije kukupeleka chaka mkuu
Atakua mgeni huyu ndugu yetu.Mbele ya Atalanta,unampa Dhamana Roma??Kweliii???pole sana.
Dah mkuu kausha tu....betting haina mjanjaPole sn mkuu,
Ila
Eibar & Las Palmas hawafai kabsa kwny corner.
Kwny somo LA corner tulishaeleza hili humu jukwaani.
Na hao no mojawapo ya timu zisizofaa kW corner
Ukistaajabu ya Appolon utayaona ya maharabu Zamaleck.
Dah mkuu kausha tu....betting haina mjanja
Acha masihara mkuu.Siku ya leo ni mbaya kuwahi kutokea kwenye hii biashara yani hawa jamaa eibar na mwenzake wamepiga kona 1 kipindi cha pili chote....dah huu mchezo sijui nani alinifundisha ***** zake
Amini hakuna anaependa kuliwa so be patient mkuu kupigwa kupo tu wether kuna somo or not ingawa linasaidia lakini sio mara zoteAcha masihara mkuu.
Afu ww si ulkuepo kpind naelezea na kuchambua khs timu za kuzpa corner?
Huyo lasPalmas,eibar,malaga,athletico,getafe,levante.
Zote hzo hazfai kabsa kwa corner mkuu