Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hakuna mechi nyingine ya basketi nijipoze wakuu maana kwenye futbal kanji kaniumiza leo

League zingine zipo. Ila kwa nBA ndiyo moja tu hii ya LA Clippers Vs GSW. Kesho leo usiku zipo.

Usikose kutembelea hapa tutarusha TIPS. Wadau akina BABA-D, Koncho77, Buddy, Willy Billy, et. al.

Karibu
 
League zingine zipo. Ila kwa nBA ndiyo moja tu hii ya LA Clippers Vs GSW. Kesho leo usiku zipo.

Usikose kutembelea hapa tutarusha TIPS. Wadau akina BABA-D, Koncho77, Buddy, Willy Billy, et. al.

Karibu
hapana mkuu huwa utaratibu wa basket siufaham sasa tunadesa desa kwenu wataalamu tupige na sisi masalio
 
Acha nife na Overs tu, game ya Boston Celtics unaweza toa.
 
Nimehangaika na basketball usiku kucha wa jana na Alfajiri yote hela zikajaa, jioni football ikaondoka na hela zangu. Bahati mbaya nilikuwa najua game ya LAC na GSW ina hela lkn akili ilikuwa imechoka mno na kichwa kinausingizi balaa nikatupia tu mikeka ya moja kwa moja na sasa hivi ndio nalala.

Ila wiki hii nzima napumzika football kwanza. Ngoja nideal na tips za basketball
 
Home win lazima kesho
FC Vizela vs Atletico Arcos
Barcelona vs Levante
FC Porto vs Vitoria Guimaraes
Real Oviedo B vs Valdesoto CF
Tottenham vs AFC Wimbledon
 
Back
Top Bottom