Two consecutive days Losses kwenye football, dah!
Basketball ndiyo inanifanya nirudishe hasara kidogo inayopotea.
Nilichojifunza kwenye Basketball.
1. Wachina wanafungana sana lkn wiki hii wengi wameshindwa kutoa over 210.5 tulizozoea
2. South Korea cut points zao ni 160, hapa ni vyema kuangalia kwanza Q1 na Q2 kupima hali ya mchezo ukiona wanasuasua basi ni safe kutoka na under 167.5 kama wanafungana basi ni safe kutoka na over 153.5 au 154.5au 155.5 au 156.5 au 157.5 au 158.5 au 159.5 ila usivuke over 160.5.
3. Indonesia ni vyema kucheza under mara nyingi na ni vyema kuchagua point ya juu kabisa kwenye betting options.
4. NBA: Hapa uhakika huwa ni kwa Golden state warriors, hawa mara nyingi ni wazee wa kutoa over 120.5 points na total points ya over 220.5. Muhimu hapa ni kuangalia kikosi chama kama key players wote wapo. Mfano jana Curry katolewa Q4 na points zikashuka mpaka 20's wakati alipokuwa uwanjani kuna Quarter walifikisha point 40's.
Mwingine ni Philadelphia huyu ni kwa hisani ya
koncho77, huyu mpe ushindi Q1 hakika hajawahi kuniangusha.... Nimeshampa na matokeo yalikuwa chanya 100% kwa wiki hii moja ninayobet.
5. Remember to do Single betting and Stake high baada ya uchambuzi, ukila mara mbili au tatu you call it a day.
NB: usisahau muda wa quarter ya NBA na CBA ni Dk 12/quarter na
South Korea na Indonesia ni Dk 10 /quarter.
Aksanteni sana.